Salaam!
Huu ni Utafiti huru na sio kila mtu aukubari,lakini ukweli ni kwamba joto la Uume ni kali sana ila inakuwa vigumu sana kulihisi kutokana na ukweli kwamba mwili mzima huwa katika pressure...
Hii tabia inakera sasa kwa siku nafuatwa na wanawake 6 mpaka 10 huku pm, wengi wao wanaomba mahusiano na mimi mwizukulu mgikuru a.k.a babu...nimechoka kutongozwa na akina beesmom.
Mpo poa nawatakia good nights wote wanaojitambua akiwemo mzab zab na Glen na wengineo Love Doctor Lovelovie Kasie Bujibuji Simba Nyamaume sophie na wengine wengi shusha na wako
Humu tumo mkusanyiko wa watu wengi ambao tumeunda jamii hivyo tumesadiki nadharia ya Jamii ambayo ipo katika mfumo wa forum!.
Nitaielezea kidogo jamii ya jamiiforum kwa makundi machache huku...
KIVUKO CHA MV NYERERE CHAZAMA
Kivuko cha MV Nyerere kinachofanya safari zake kati ya Bugorara na kisiwa cha Ukala katika ziwa Victoria kimezama muda huu, huku taarifa za idadi ya watu waliokuwemo...
Marafiki zangu toka africa,ulaya,asia na marekani wamekuwa wakiniuliza nmepatwa na nini?mbona kule twitter naandika kama mtu mwenye stress za maisha?
Nmeshangaa sana maana mimi situmii account ya...
1. Mwenza wako akitema mate kwenye chombo waweza lamba? Jibu laweza kua no, ila content ni zile zile
2. Unajua kijiko au kikombe cha mgahawani unachotukia kimeingia kidomoni mwa watu wangapi ...
Mzuka Wanajamvi!
Huko chini sana ardhini kuna miamba na hii miamba mda wote inacheza cheza na kutekenyana tekenyana masaa 24/7. Huko kutekenyana na kucheza cheza zinatoa jasho na hilo jasho ndio...
Kuna tofauti gani baina ya vichekesho vya Kichina na Kiswahili? Tafadhali lete baadhi ya vichekesho vya Kiswahili hapa, tuvilinganishe.
1.NZIGE
Wakati Bwana...
Nakumbuka miaka fulani maisha yalinipiga chenga mbaya mbovu, boksi langu lilikuwa gumu utasema ni vault za kuhifadhia dhahabu. Sasa siku moja mchumba akanicheki akadai amenimiss niende kwake...
Naomba anzeni sasa Kupanga Kamati ya Harusi yangu ila Matola atakuwa Bodyguard wangu na LIKUD atakuwa Mpishi wa Chakula cha Harusi yangu.
Wengine jipangeni Wenyewe.
Chrismas bado mwezi mmoja na ushee!
Kuna watakaotaka kusafiri kwa magari yao wakawaringishie ndugu zao Moshi!
Kuna wanaoenda mbugani kuona wanyama!
Kuna watakaotaka kutalii tu kiujumla!
Kuna...
Wahenga wanasema hivo ulivyo ni jamaii imetaka uwe hivyo, so chunga sana mazingira yanaweza kukutengeneza ama kukuharibu, kifikira muonekano hata tabia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.