Nilipoteza simu na fedha maeneo ya Kimanga, nikaenda polisi kutoa taarifa ya kupotelewa, nikapewa RB na loss report. Wakati nimechukua daladala narudi kimanga pia nafika home najikuta sina ile...
Inakuwaje wanajamvi!
She is back. Nimeona amelike comment yangu flani. Kwa muda sana alipotea jamvini tukashikwa na wasiwasi. Welcome back Wangari Maathai.
Wengine nao siku hizi wamepotea hearly...
​Wanajanvi ninaomba mnisaidie katika utafiti wangu huu kujua ni kabila gani la kitanzania lenye wanawake warembo zaidi na ni kigezo gani hasa unachotumia katika utambuzi. Je, sura au umbo...
Jf member nawaaga sasaivi rasimi nitakuwa bize kidogo, na kama mkiona nimepost nipo pale niiteni mbwa huku nakula uyoga.
Sitopost ujinga wowote, nimepewa husia sana leo kuwa nirudi kwenye ubora...
Nishamaliza hapo unaona hii mvua sasahivi saa nane walio lala miguu minne ndio wanafaidi mmoja ana msogelea mwezie ndoa tamu
Achaneni na vijana wa ovyo wasio taka ndoa hao ndio wale wanaotak...
Dah nashobokewa na mdada mmoja kila nikienda kununua chapati anafurah ana kishundu sema embu nipeni ujanja huyu dada kesho nimkule kimasihara af tupie kwa rikiboy kule
Hasa msimu huu wa mvua na kibaridi huwa nahisi waliooa na kuolewa wanafadi Sana hasa nyakati za usiku. Au Ni mawazo yangu? Maoni yenu hasa wenye ndoa zao sio michepuko.
Kama kuna aliye karibu na namnani hotel akaniulizie pale mapokezi kama wameniokotea pete yangu room # 60 nilikuwa na mdada flani bonge mweusi. Nimefika mbali naelekea Iringa msibani tafadhali...
Habari wakuu,
Kuna nyuzi za story zimo humu JF zinahusu mambo ya kishirikina,utajiri wa kishirikina, kuua watu, na zingine zote zinazohusu mambo ya hivo, naomba msaada wa kuwa tagged ili nizijud...
Kila mtu ana zamani yake
Na miaka ile sie tu wangali wadogo tulipitia maisha fulani ambayo kwa sasa ni nadra sana
Wakumbuka zile kauli za mama zetu kama wanafalsafa wa uswazi😂😂
Mfano mama yangu...
Habari wanaJF, natumai tunajiandaa kuumaliza mwaka 2022, na kuupokea mwaka 2023 salama na kwa amani tele. Leo nashea kakisa kadogo kalikonipata wakati mtoto miaka kadhaa nyuma.
Miaka 21 imetimia...
Hellow
Humu bhna kuna matajiri wengi sana nazidi kupata marafiki wapya sana matajiri hawana mdomo
Humu nimekutana na watu wazuri kwa upande wangu mimi nimefaidika sana na watu wa humu japo...
That moment, unakutana na mtu au wapishana naye kwa njia na utoe salamu.
Then salamu yako isipate majibu hivi ni maneno gani huwa yanakutoka kimoyo moyo juu ya kitendo hicho.
Mimi kwa mtu...
Wakati nipo ndani ya basi likichanja mbuga muda huo nikipata mawazo ya wadau mbalimbali ya wana-jf kuhusu kwenda kukutana na mwanamke kwa mara ya kwanza ambaye tulifahamiana kwenye mitandao ya...
Amsterdam!
Everyone is using emojis now.
Mwanzoni tulijua wanawake tu ndio wanatumia emojis[emoji3]
ila sasaivi sijui ni fasheni mimi nimepitwa? Au ni ushamba? Au ndio feminism...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.