JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Je, mnakumbuka wakati ule ukitaka kujua saa ngapi, unanyanyua simu yako na kuzungusha number na kusikia sauti ikikujibu "Usikiapo mlio wa tingo, hii ni saa fulani dakila fulani na sekunde fulani"...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadada, msijirahisishe hivyo Kuna Mdada aged around 25, usiku huu simjui hanijui, kaning'aninia nimuoe ni mmarangu ana watoto wawili, Anataka nimuoe tu, Nimechukua namba zake Ila mpaka muda huu...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
• Mtoto wa kiume unasuka bado unapanda daladala we ni hanifha. • Unapaka brich afu unapanda daladala we ni kichaa unayejitambua kidogo. • We una kitambi /mnene bonge nyanya afu bado unapanda...
1 Reactions
3 Replies
569 Views
Good morng Africa Ivi juma pili natakiwa kufanya nini mpaka saa sita usiku nipeni ratiba kanisani nishatoka [emoji849]
3 Reactions
61 Replies
2K Views
Only Legends ndio wataelewa hili jibu.
1 Reactions
13 Replies
899 Views
Habari wakuu.. Msaada kidogo naombeni, lodge/hotel nzuri Mwanza mjini kati kwa gharana za 30k-50k
1 Reactions
2 Replies
731 Views
Kuna bwana mmoja nilikuwa naishi naye maeneo ya Msasani beach, akiwa hajalewa hajui kabisa Kiingereza ila akinywa anasahau kabisa Kiswahili!
7 Reactions
14 Replies
971 Views
Natafta mchumba [emoji23] Au Basi natafta HELA wanangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] What will you do? If you notice the breath you...
1 Reactions
8 Replies
550 Views
Kipindi cha siku, Mwezi au mwaka kwa bindamu mkamilifu ni muda mrefu sana wa maisha yake. Mtoto wangu leo ametimiza mwaka mmoja tangu kuzaliwa kwake. Mapito ya magonjwa, na kama binadamu...
3 Reactions
4 Replies
690 Views
Nimetoka tu nje ya geti kununua mafuta ya kupika chakula, nikasikia gari ikipiga honi, kuangalia ni mubaba muzuri ananiulizia wapi kwa fulani, gari kali nyie, ananukia. Eti dada samahani, eti kwa...
12 Reactions
117 Replies
5K Views
Nawasalimu ndugu na jamaa humu ndani.Nimeuliza swali nahitaji kujua?
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Eti, umemsevuje mchepuko wako? Naanza namimi [emoji116][emoji116][emoji116]
3 Reactions
28 Replies
1K Views
habari zenu wadau. najua kila mmoja yupo katika harakati za kusongesha gurudumu la maisha mbele na kuyafikia maendreleo yake na maendeleo ya nchi tupige kazi kwa bidii,achana na kichwa habari cha...
3 Reactions
24 Replies
15K Views
Wazee wenzangu habarini na amani iwatawale Ni muda kidogo umepita sijawaona humu jf kwenye majukwaa mbalimbali watu hawa. Mzee Tupatupa Ritz Mwanakijiji Jack Bauer (kama sijakosea uandishi wa...
1 Reactions
17 Replies
998 Views
Kwema Ndugu zangu, Yani unaweza kumeet na mtu au watu ambao wamekuzidi kila kitu, lakini wakaamua kukuchukia tu bila hata sababu yeyote. Hata ukujitahidi kuwa tendea mema kwà HEKIMA, BUSARA...
3 Reactions
17 Replies
593 Views
Alikuta ofisi imepewa kazi ya kuunda kadi za Harusi ya mrembo fulani. Alipojua ni yule kimeo ndio anaenda kuolewa na Rafiki yake mpofu wa akili aliamua jambo kwa makusudi. Maagizo yalisema...
1 Reactions
4 Replies
522 Views
Nakumbuka kuna kipindi nilikua natafuta kazi nko jobless mambo hayaendi, nyenzo kubwa ilikua vocha ili niweze ku access Internet lakin kuna mda nilikosa hyo vocha ili niendelee na mapambano...
19 Reactions
204 Replies
12K Views
1. Usipige simu ikaita hadi ikakata. Huko ni kujikosea heshima. Labda uwe unapigia wazazi. 2. Usimpigie mwanaume mwenzako video call. Labda iwe kuelekeza kazi. 3. Isipigepige simu sana, pia...
10 Reactions
42 Replies
4K Views
8888 peke yake kwa lugha ya kijaluo inaamkwaje hii namba wajameni
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom