Njia rahisi ya kumkamata mchawi au mwanga

Idd Ninga

JF-Expert Member
Nov 18, 2012
5,492
4,770
habari zenu wadau.
najua kila mmoja yupo katika harakati za kusongesha gurudumu la maisha mbele na kuyafikia maendreleo yake na maendeleo ya nchi
tupige kazi kwa bidii,achana na kichwa habari cha mada mwani kumuona mchawi ni jambo gumu kiulimwengu wa kawaida.
najuatakuja wengi baada ya kuona jinsi kichwa cha habari kilivyo.
ila ni njia tu ha kuzielewa jinsi vichwa vya habari za bongo zilivyo.
ujumbe wa leo: TUFANYE KAZI NA SALA ILIU NA MUNGU ATULE BARAKA ZAKEM
 
Lala na mwiko chini ya mto unaolalia utamuona live , nae atakuona ila jiadhari na kufatiliwa mana watajipanga ili kujadili umejuaje au umewaonaje
hatari
sema kwanza jinsi ya kuwapa kipondo ili wasije kumzidi mtu nguvu halafu ikala kwake.
 
Lala na mwiko chini ya mto unaolalia utamuona live , nae atakuona ila jiadhari na kufatiliwa mana watajipanga ili kujadili umejuaje au umewaonaje
sasa kwa mimi ninayebeba zege nikilala kama pono wakija nitaamka au..
 
habari zenu wadau.
najua kila mmoja yupo katika harakati za kusongesha gurudumu la maisha mbele na kuyafikia maendreleo yake na maendeleo ya nchi
tupige kazi kwa bidii,achana na kichwa habari cha mada mwani kumuona mchawi ni jambo gumu kiulimwengu wa kawaida.
najuatakuja wengi baada ya kuona jinsi kichwa cha habari kilivyo.
ila ni njia tu ha kuzielewa jinsi vichwa vya habari za bongo zilivyo.
ujumbe wa leo: TUFANYE KAZI NA SALA ILIU NA MUNGU ATULE BARAKA ZAKEM
habari zenu wadau.
najua kila mmoja yupo katika harakati za kusongesha gurudumu la maisha mbele na kuyafikia maendreleo yake na maendeleo ya nchi
tupige kazi kwa bidii,achana na kichwa habari cha mada mwani kumuona mchawi ni jambo gumu kiulimwengu wa kawaida.
najuatakuja wengi baada ya kuona jinsi kichwa cha habari kilivyo.
ila ni njia tu ha kuzielewa jinsi vichwa vya habari za bongo zilivyo.
ujumbe wa leo: TUFANYE KAZI NA SALA ILIU NA MUNGU ATULE BARAKA ZAKEM
Amina ndugu.
 
Back
Top Bottom