JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Role model ni mtu ambaye ni kioo au kiigizo cha wengine especially lifestyle na career. Mi role model wangu ni Sadio Mane na Mack Zuckerberg kwa sababu hii miamba iko very humble na...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Kichwa chajieleza hapo juu, Kuna mtu nataka niprove kwa kile alichonifanyia[emoji848][emoji848]
1 Reactions
8 Replies
551 Views
Kwema humu wadau? Nina siku saba tangu nije huku Pwani kwa masuala binafsi.. Aisee niombeeni nikumbuke kurudi Nyumbani.
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Dar es Salaam kuna DAWASCO. mkoani kwenu kuna nini?
1 Reactions
10 Replies
615 Views
  • Closed
Nimetoka Rwanda leo, nimerudi Tanzania, jamani Rwanda kuna wanawake kuna wadada wazuri aisee, nilienda kikazi ila nitafanya mpango niende kustarehe. Nile bata huko, huku Tanzania hamna wadada...
14 Reactions
292 Replies
58K Views
Karibuni tushirikishane aina mbalimbali za Keyboards tunazozipenda kuzitumia kwenye Simu zetu. Mimi napendelea kutumia Keyboard tajwa hapo juu, Ninaipenda kutokana na sifa kadhaa iliyonayo...
15 Reactions
101 Replies
12K Views
Ni Mizigo ambayo Serikali ya Algeria imesema inaihifadhi kwa muda kuanzia Jana Alhamisi hadi Kesho Jumamosi Saa 6 ya Usiku tu na tusipoenda Kuichukua yenyewe itachukua hatua ya Kuiteketeza...
2 Reactions
2 Replies
532 Views
Niaje niaje, Wadau tukumbushane enzi hizo na matukio yetu ambayo ukiwaza sasa hivi unajiona mshamba fulani hivi. ~ Nakumbuka nilitoa hela ndefu ili niungwe Facebook, nikiwaza nataman niende...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Pamoja na kaajira kangu ka kubangaiza mimi pia ni dereva bajaji huwa nikichomoka kwenda job asubuhi lazima niitumie bajaji kukusanya watu kituoni na kuelekea nao posta na nikirudi pia hivyo hivyo...
1 Reactions
3 Replies
823 Views
Na mpaka muda huu GENTAMYCINE naandika hapa Wamefanikiwa Kushusha Mabegi Sita yenye Hirizi, Nazi, Mkojo wa Kenge, Sikio la Kicheche, Kende za Fisi na Mayai Viza ila Begi Moja limekataa Kutolewa...
1 Reactions
2 Replies
529 Views
1. Wahaya: Wapenda Tamu zote za Kibaiolojia 2. Wanyiramba: Viburi sana 3. Waha: Wabishi tukuka 4. Wanyaturu: Wezi mno 5. Warangi: Wachawi 6. Wakerewe: Walafi 7. Wanyamwezi: Washamba sana...
1 Reactions
1 Replies
852 Views
Nahitaji marafiki wa kawaida tu mtandaoni,
2 Reactions
17 Replies
702 Views
  • Closed
Habarini nyote! Ni jioni tulivu, nimetafakari sana nyuzi za vijana humu wakifunguka ya moyoni kwa 'crushes' wao wa kimapenzi. Upendo ni kama sumaku na ni kama bahari ukizama umezama. Ilikuwa ni...
13 Reactions
88 Replies
10K Views
Hahaha enzi za ujana wangu niluenda mtembelea bibi huko Tanga, Alikua anamiti ya ugoro na tumbaku + ule ugoro wa kununua Nilikuwa na gonga nae pasu pasu alinipenda sana soon nitaenda kumuona tena...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Basi bhana, mida ya saa tano za usiku nikawa navutana na jimama lenye manyonyo makubwa sana nisiyoyamudu, ile kukataa lenyewe linalazimisha. Kwa bahati nzuri nikalishinda, ile kufika mbele...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Jambo jambo? Haya kama uko karibu chapu chapu uje tujumuike. Haiwezekani Bar nzima anayetumia JF niwe peke yangu aiseee. Uwe mwanamke uwe mwanaume Sijali mradi Gambe zitembeee Kama unavuta...
0 Reactions
6 Replies
710 Views
Inakuwaje WanaJamiiForums Binafsi huwa najisahau sana kubeba akiba nikiwa matembezi kitaa, mpaka kuna mda najiuliza hivi ndo ile nipo road mara paap! Nimeipush sahani ya maandaz bahati nzuri Mama...
6 Reactions
72 Replies
3K Views
Je, kitambi chako ni kipi? Kuna kutambi kinachosababishwa na pombe, bila kujalisha ni mataputapu au bia. Kuna kitambi kinachosababishwa na msongo wa mawazo. Na pia kuna vitambi vyasababishwa na...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale katika kutafuta riziki za hapa na pale ilimradi mdomo uende kinywani, katika pita pita zangu humu JF kwenye jukwaa fulani niliwahi kumuona dadaangu...
4 Reactions
127 Replies
8K Views
Nipo home naangalia royal tour
2 Reactions
0 Replies
512 Views
Back
Top Bottom