Ujinga tu na upumbavu

RealixT

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
1,481
2,537
Dunia ya sasa ukiunga mkono na kuwa mshirika wa masuala ya ovyo ndio utapendwa na kuwa mtu wa watu.

Kwa m/Mme: ukiwa Malaya,mhuni, misifa km yote, Basi ndio utapendwa Na wanawake wajinga walio wengi.

Kwa m/mke: ukiwa mgawaji (ubagui wa kumchanulia ua lako) Basi wew utapendwa na kila mvulana(sio mwanaume) tena utakua wa kuitwa dada yao wa kitaa, hata ukikooa watakuuliza vipi sister tukupeleke hospitali na watakuwa na wew bega kwa bega kwa kila jambo lako mpaka utajihisi mwenye bahati kwenye Dunia hii...

Yapo mengi ya kuyazungumzia Ila kwa Leo nimewasilisha haya tu.Ruksa kuongeza na lako ulilo nalo na maoni kuchangulia.

Note: Sio kila anayezungumza kwa hisia Basi ukahisi labda katendwa au hana pesa. Wengine ni great thinkers tu kama mimi.
 
Waache watu waishi maisha yao, na wewe ishi yako.

Zaidi ya hapo, yatakushinda.
 
Sasa hata kama ni ww mdada anaekubless huwezi mzingatia? Tena hata akipiga chafya tu unampeleka kituo cha afya kilicho karibu nawe.

Haya mambo ya kusema watu wenye tabia za kihuni wanapendwa na jamii sio kwel, ni vle tu hamna definition ya ya uhuni ni kila mtu ana mtazamo wake!
 
One man's peace maker is another man's enemy
 
Ndio uungaji mkono ujinga wenyewe huu sasa,
Ujinga ni pale unapojipa umuhimu usiokuwa nao katika maisha ya watu baki.

Unatoa ushauri ambao hujaombwa, kwa watu usiowajua, kuhusu jambo usilolielewa vizuri.
 
Sidhani km nmetoa ushauri kwa jambo nilisilolielewa, kwa mtu mwenye fikra yakinifu na non ordinary atakuwa kanielewa,
 
Back
Top Bottom