Je kuna nyimbo mwanaume hupaswa kuzishabikia pia kuna nyimbo mwanaume hapaswi kuzishabikia?

Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,634
26,373
Wakuu, Nataka kujua tu.
Hivi kuna aina za nyimbo mwanaume akizipenda ataonekana kama mtu asiyejielewa na pia kuna nyimbo mwanamke akizipenda ataoneka wa ajabu au asiyejielewa pia?

Kwa mfano chukulia umeenda gheto kwa mshikaji labda ana mke na watoto labda na kipara kwa mbali ameweka huu wimbo na anaimba

🎼Nipo chuchu nipo Nyonyo aaah nimejaa teleee....🎼

Au kuna Mdada kaolewa na ana watoto lakini au hana na anapenda nyimbo kama huu

🎼Gusanisha hasi na Chanya mamaa weeee,Mabaharia toka buza tulifika.....waweke fresh tunarukaga ukuta....🎼

Tukuchulie wote hawa bado wako kwenye umri wa ujana,

Kwa kawaida kila mtu anapenda anachopenda huwezi kumpangia lakini kimtizamo je kuna nyimbo wanaume hawapaswi kuzishabika na pia kuna nyimbo wanawake hawapaswi kuzishabikia kwa sababu tofauti tofauti?

Karibu kwa maoni yako.
 
Mwanaume hupaswi kusikiliza nyimbo yeyote ambayo msanii ana behave kishololo shololo (hususani kwa ma artist ambao ni wanaume)

Mwanaume unatakiwa usikilize nyimbo ngumu uumize kichwa ku decode ujumbe na sio kupenda mseleleko wa vitu vyepesi kwa kupagawishwa na auto tunes au melodies.

Mwanaume unatakiwa nyimbo unayoipenda hakikisha haipendwi na mademu, na kama ikitokea basi aina ya mademu wale wenye brain heart wanaosikiliza nyimbo ngumu.

Mwanaume inatakiwa ukikutwa unasililiza nyimbo kila mtu akuulize huyo ni msanii gani na hiyo ni nyimbo gani.
 
Mwanaume hupaswi kusikiliza nyimbo yeyote ambayo msanii ana behave kishololo shololo (hususani kwa ma artist ambao ni wanaume)

Mwanaume unatakiwa usikilize nyimbo ngumu uumize kichwa ku decode ujumbe na sio kupenda mseleleko wa vitu vyepesi kwa kupagawishwa na auto tunes.

Wanaume wa hivyo wameadimika sana na wanazidi kupotea.

Siku hizi wamebaki wa kiume na hashtag zao za kukataa majukumu na wengine wamehamia kwenye upinde kabisa.
 
Kuna msanii napenda kuskiliza ngoma zake anatokea gabon, Oliver ngoma je hapo vipi na mimi ni kijana, ila wanasema naskiliza nyimbo za kizee
Kusilikiza nyimbo za kizee sio shida maana zina ujumbe mzuri
 
Mwanaume hupaswi kusikiliza nyimbo yeyote ambayo msanii ana behave kishololo shololo (hususani kwa ma artist ambao ni wanaume)

Mwanaume unatakiwa usikilize nyimbo ngumu uumize kichwa ku decode ujumbe na sio kupenda mseleleko wa vitu vyepesi kwa kupagawishwa na auto tunes.

Mwanaume unatakiwa nyimbo unayoipenda hakikisha haipendwi na mademu, na kama ikitokea basi aina ya mademu wale wenye brain heart wanaosikiliza nyimbo ngumu.

Mwanaume inatakiwa ukikutwa unasililiza nyimbo kila mtu akuulize huyo ni msanii gani na hiyo ni nyimbo gani.
Hebu toa mfano wa nyimbo ngumu, maana wengine tunapenda soft music kama za kian Celine, JLO, RKelly nk
 
Back
Top Bottom