JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kwamba alikua anatingisha kiberiti au?
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Leo nakumbuka siku yangu ya kuzaliwa nashukuru ni mzima wa afya maana katika familia yetu watu wanakufa kabla ya tarehe ya siku ya ya kuzqliwa kabla ya siku tatu au mbili na mimi pia wiki ilio...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Huyu dogo bonge ni roommate wangu chuo kimoja hapa Tanganyika. Mshikaji anajamba usiku kucha halafu mwenyewe wala hata ajui anajamba usingizini sina raha hata ya kuishi nae. Kanikela vibaya...
21 Reactions
207 Replies
7K Views
Mmeamkaje wapendwa? Tumshukuru Mungu Kwa Kila jambo maana hakuna lifanyikalo pasipo yeye kuruhusu.🙏🙏🙏 Tuwe na siku njema. Nawapenda sana!
17 Reactions
79 Replies
3K Views
Mi nimeamka salama kabisa najiandaa kwenda kupambana nipo Dodoma familia ipo Dar usiniulize kwanini sijaileta Dom nina sababu zangu. Njoo na tukio tujadili😎
2 Reactions
3 Replies
718 Views
Yapi maoni yako kuhusiana na mchezo wa Koinange utakaoanza rasmi nchini Sweden hivi karibuni. Je unafaa kushiriki ama haufai kushiriki? Kwako habari hizi zinakupa picha gani?
0 Reactions
6 Replies
658 Views
Nakumbuka enzi hizo Ukiwa na mashauzi au mnoko unapigiwa KIU hiyo nyakati za usiku mpaka utajuta kwenda MU. Kama ulishawahi pitia MU tujikumbushe na KIU uliyowahi sikia ikipigwa nyakati za usiku...
1 Reactions
0 Replies
606 Views
  • Closed
Threads nyingi zilianzishwa kukuzungumzia wewe shunie ila na mimi ngoja niwe miongoni mwa waliofanya hivo japo yawezekana walikuwa hawajui wanachokifanya Nafurahi jf hasa chit chat kunikutanisha...
21 Reactions
641 Replies
27K Views
Mods, chonde chonde, huu uzi nakuombeni muuache hapa hapa. Leo tutengeneze mvinyo wa rozela; Kutengeneza mvinyo wa rozela .......... lita 20. Viambaupishi; rozela gramu 200; sukari kilo 12...
4 Reactions
58 Replies
24K Views
Mimi ningekuwa mfalme Daudi nisingependa adui yangu aniletee upuuzi wake, nisingekuwa yesu eti unipige nikuangalie tu. Wasaliti kama kina Yuda wangeipata freshi? Wewe unadhani ulifaa kuwa nani...
7 Reactions
136 Replies
4K Views
Mambo ni mengi ,binafsi nigeweka hivi: Front page (FP) na last page (LP) FP: Watoto wasumbua likizo na wazazi wakitamani shule kufunguliwa (kana kwamba wao hawahusiki na malezi) LP: Kiatu...
0 Reactions
4 Replies
455 Views
Kipekee nawashukuru sana TBC kwa kutuonesha Vikao vya Bunge Mubashara Sisi Wazalendo tutaendelea kuwaunga mkono Nawatakia Sabato Njema!
0 Reactions
1 Replies
686 Views
Kila mtu anarafiki yake anayekuwa naye kwenye mambo Mengi ila swali langu je unamwamini kiasi gani huyo rafiki yako ?? 😁Mie Sinawakumuamini kwakweli naishi Kwa msaada wa Mungu Kwa kweli
20 Reactions
250 Replies
9K Views
Mbona noti za elfu kumi huwa na rangi nyekundu?
2 Reactions
7 Replies
788 Views
1. John- Ni mpenda sifa na muongo, kamwe hawezi kukuruhusu ukashika simu yake 2. Brayton- Anapenda kulalamika muda wote, anaringa, anapenda kubembelezwa na anapenda kulelewa 3. Moses- Ni mkali...
6 Reactions
298 Replies
24K Views
Enzi hizo mnatoka Jolly mnakesha Las Vegas Casino au Billz kunakucha sa kumi na mbili kijua hichoo, mko nyanganyanga mnachomoka hadi kino wale tuliokaa mitaa hiyo Mnaishia Kiria Bar. Sufuria...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi..! Siku mwezi na tarehe kama ya leo my lovely person..Vinchii wangu alizaliwa. Happy birthday to you. Long may I reign. Zawadi za birthday zitumwe...
14 Reactions
86 Replies
5K Views
Dunia inaundwa na mabara 7 moja limejaa barafu (Antaktika: Hakuna wakazi wa kudumu lakini watafiti na wafanyakazi 4,000 katika majira ya joto na 1,000 katika majira ya baridi.) Bara la Africa ni...
2 Reactions
8 Replies
985 Views
Jana nimejifunza mengi sana, nilikunywa bia zangu Manzese kichwa kilivyochanganya nikasema pesa kitu gani bhana kesho nitatafuta tu kwanza zipo za kutosha nikakimbia chap ATM nikawithdraw laki nne...
30 Reactions
155 Replies
10K Views
Back
Top Bottom