Hii Konyagi ya Moshi mbona ladha tofauti?

Mimi ni mpenzi sana wa konyagi.nipo moshi kikazi bar maarufu sana hapa moshi nimeagiza konyagi lakini nahisi ina ladha tofauti na nilivyozoea.vipi ni mimi tu au wenzangu mnaonaje ladha ya konyagi hapa moshi?
Mwili wote umesisimka, Hongera mkuu.
 
Konyagi Wana Toleo Jipya, Na Nimesikia Mara kadhaa Wakitangaza though Sijawahi kunywa, So Mkuu uwe na Amani na Ufurahie Kinywaji Chako
 
Mimi ni mpenzi sana wa konyagi.nipo moshi kikazi bar maarufu sana hapa moshi nimeagiza konyagi lakini nahisi ina ladha tofauti na nilivyozoea.vipi ni mimi tu au wenzangu mnaonaje ladha ya konyagi hapa moshi?
Mwanamke unakunywa konyagi?

USSR
 
Back
Top Bottom