JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hii ilitokea huko wilayani chunya mkoani mbeya.Mke na mume wakitoka shambani mara ghafla chatu mkubwa aliwavamia na kumdaka mwanaume.Wakati chatu anajiandaa kumvunja mbavu na hatimaye...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Enjoy your wekend!
0 Reactions
1 Replies
963 Views
When darkness falls and were apart Can love heal this lonely heart I love you dearly that I do Sleep is good when dreaming of you With all my love I give to you You are so sweet I know not how...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mambo ya kwa babu!!!!!!!!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni mwanaume. Naishi Dodoma. Natafuta mpenzi wa kuliwazana. Umri kuanzia miaka 20 na kuendelea. Sitanii, kwa hiyo na yeye asitanie. Atakayekuwa tayari ani-PM. Ahsante
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Wanajamvini naomba msaada kwa anayejua . nina karatasi yangu muhimu nimekosea kuandika nilipenda kuifuta ili niandike tena. wenzangu hapa ofisini wamenishauri baadhi ya dawa kama nail remover ...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Mbwembwe zote umekuja ukifurahia umepata kazi serikalini,Taasisi za benk,Mashirikaya kimataifa Kwenye makampuni ya uwakili kumbe yote umenisaliti mkewangu umehonga kitu nilichokitolea...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Je, 1.una kipaji cha kuhuzunika na kuweza kutoa hadithi feki kumuhusu marehemu jinsi alivyokuwa mtu mwema? 2.Una mavazi rasmi ya kuombolezea na handkerchif za kutosha? 3.Unaweza kulia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Daktari wa vichaa aliingia wodi ya vichaa kuangalia wagonjwa wake wanaendeleaje. Akawakuta wagonjwa wote wametulia huku wakimsikiliza mgonjwa mwenzao ambaye alikuwa anaonekana kama anawahubiria...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
MZEE VITUKO....USHAURI Mzee mmoja baada ya kupata tetesi kuwa kijana wa kijijini kwake anachukua mke wa mwenzake, alimfuta na kumwambia. Mzee:....kama unafanya, basi si vizuri unavyofanya hasa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kulikua na mpare na mchaga waliokua wanasafiri kwenda tabora kibiashara walipofika singinda wakaamua kuchukua gest walale kwa7bu ilikua usiku sana hakukua na magari yakwendelea na safari.kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
A guy had a bad case of hemorrhoids, so he decided to go see his doctor. The doctor says, "It's not too bad, you just need to put these suppositories up your ass. I'll give you the first dose, and...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Msinishangae. Nina miaka 33, single, Msomi, Digrii ya Engeneering ninayo. Mtanashati sana, usafiri wangu ninao. Kazi pia ninayo. Natafuta mwenza, kipenda Roho mpenzi mwanzo, na mke wa baadae...
0 Reactions
113 Replies
13K Views
Hi wana jamii hamjamo? Nawasalimu pamoja na kwamba nilijiunga february 2011
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama ilivyo kawaida yao, wao husema ni siasa au tumetumwa na vyama vya siasa.Ni kama miezi miwili tangu chuo cha elimu, chuo kikuu cha dodoma kifanye mgomo juu ya madai yao ya msingi kama...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamaa aliposa msichana hajawahi kuguswa na mwanamume Akaambiwa mahari milioni 5. AKASEMA KWA MSHAHANGO>Hee milioni 5?Wakati hapo jirani nimeambiwa laki 2 tu tena MWANAMKE MWENYEWE ANA MIMBA (BUY 1...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Askofu aliendesha harambee kuchangia ujenzi wa kanisa. Wakristo wakatoa Tshs 750,500 tu. Ghafla majambazi wakateka kanisa na kuamrisha kila mtu atoe alichonacho! Wakakusanya Tshs8,945,800 na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mnakaribishwa sana kwenye uwanja wa Biafra, Mwalimu Christopher Mwakasege anafundisha kila siku jioni mpaka jumapili ya tarehe 20, 03, 2011. Wote mnakaribishwa sana
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Sharobaro kajiunga na jeshi la wananchi, wamekaa mstari kwaajiri ya kukaguliwa gwaride, Afande akamfuata sharobaro akamuuliza ww mbona ujishughulishi, sharobaro akamjibu, Yooh Afande sijazoea...
0 Reactions
47 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…