Madingi kama hawa, hata kwenu wapo

Mkwaruzo

JF-Expert Member
Feb 21, 2011
563
98
MZEE VITUKO....USHAURI
Mzee mmoja baada ya kupata tetesi kuwa kijana wa kijijini kwake anachukua mke wa mwenzake, alimfuta na kumwambia.
Mzee:....kama unafanya, basi si vizuri unavyofanya hasa kufanyia hapa mtaani. Bora ufanyie hukoo ukipata tatizo ndiyo ukimbili huku tukusaidie. Na kama hufanyi, basi washakusingizia. Na kama ni hivyo, sasa, tafuta kila ila njia ufanye kisha ukome na usirudie tena kwasababu si vizuri.
 
Mzee mmoja baada ya mchana mzima kupita bila ya kupata kitu, akaamua kwenda kuiba, sasa si akaja kujuulikana. Akashtakiwa na jaji akampiga fain ya elfu kumi kwa kosa hilo. Mzee akamuuliza jaji, "jaji una tembo, kama mimi nna elfu kumi ningelikwenda kuiba ndizi?"
 
Siku moja mwanafunzi alipandisha jini (alichagawa) akiwa shuleni na kusema anataka ng'ombe. Mwalimu mmoja aliye mzee kidogo na akaongea nae kumuambia jini hivi: "hapa tuna tatizo la baadhi ya wanakijiji kutufungia ng'ombe katika eneo la skuli (shule) wakati wa usiku, sasa giza likingia tu njoo uchague ng'ombe unayetaka na umchukuwe". Mhh, hakuna aliyetokea kupandisha teen.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom