Uozo udom wanikunisha kichwa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uozo udom wanikunisha kichwa.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by adiemason, Mar 16, 2011.

 1. a

  adiemason New Member

  #1
  Mar 16, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama ilivyo kawaida yao, wao husema ni siasa au tumetumwa na vyama vya siasa.Ni kama miezi miwili tangu chuo cha elimu, chuo kikuu cha dodoma kifanye mgomo juu ya madai yao ya msingi kama:
  1.Mazidi ya pesa za ada
  2.Mazidi ya pesa za accomodatiom
  3.Kucheleweshwa kwa mikopo kutoka HESLB
  4.Mfumo wa ufundishaji
  Haya ni mambo makuu manne makubwa yaliyopelekea msafara wa Waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kutekwa na Mkuu wa wilaya ya dodoma kuwekwa kizuizini kwa muda wa masaa manne. Tarehe 25/2/2011 uongozi wa chuo ulipokaa councel hawakujadili hata moja kati ya hayo zaidi ya kuazimia wanachuo wasifanye siasa katika mambo 11 waliyoafikiana. Hivi wana UDOM pamoja na wadau wa elimu, nikweli kwamba kudai haki ya msingi ni kufanya siasa?Kwani siasa ni nini?
   
 2. S

  SAM wa KILUNGU Member

  #2
  Mar 17, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vyuo vya kata kwa wana kata huko huko..halafu hili sio jukwaa la hayo mambo au ni jokes,udaku,gossips?
   
 3. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Labda kaleta kama joke
   
 4. D

  Duma Member

  #4
  Mar 17, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hoja zako niza msingi sana ila umekosea forum.
   
 5. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #5
  Mar 17, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mkuu geuza njia 2 hapa si mahala pake
   
 6. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #6
  Mar 17, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,083
  Likes Received: 881
  Trophy Points: 280
  jiongeze kwingine tu ndugu yangu. huko hakutakuja kutulia mpaka huyo mzee short aondoke.
   
 7. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #7
  Mar 17, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sasa huku umekuja kufanya nini mkuu..
   
Loading...