Nafasi ya kazi.

fundiaminy

JF-Expert Member
Jun 4, 2009
355
51
Je,
1.una kipaji cha kuhuzunika na kuweza kutoa hadithi feki kumuhusu marehemu jinsi alivyokuwa mtu mwema?
2.Una mavazi rasmi ya kuombolezea na handkerchif za kutosha?
3.Unaweza kulia unapoamrishwa ulie?
4.Unaweza kutoa majibu ya haraka kumhusu marehemu hata kama hamjuani na useme unamjua kivipi?

Haya usihangaike kutafuta dili.ni PM details zako upate ajira.
 
Mwandosya, Mwakipesile, Mwandumbya, Asangalwisye, Tupokiwe, Mbutolwe, Mwanginde, Mwakatobe, Mwanjokolo, Lusajo, Ndule, Angetile wote hao VC zao zimetulia kwa hiyo job.
 
niliwahi kuisikia kupitia radio wakati uwo ilikuwa imekolea Kenya na malipo yake ni dola 5 ya US @ each. Yani inakuwa kama comedy
 
Namba 3 anaweza kupewa muheshi miwa supika wetu

Back
Top Bottom