Msaada wadau: Nawezaje kufuta wino kwenye karatasi pasipo kuiharibu?

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
211
Wanajamvini naomba msaada kwa anayejua . nina karatasi yangu muhimu nimekosea kuandika nilipenda kuifuta ili niandike tena. wenzangu hapa ofisini wamenishauri baadhi ya dawa kama nail remover , tina lakini naona zinazidi kuchafua. sasa masaada kwa anayejua. anishauri
 
Labda ungetanabaisha ni karatasi gani, ya material gani, na je, kuna uwezekano wa kupata nyingine...kama ni karatasi ya kawaida na umeandika na kalamu ya wino ni lazima utumie correction fluid nyeupe, lakini mtu atajua kuwa umefuta.
 
Sidhani kama una nia nzuri maana sikubaliani na forgery, lakini anyway ningependa kushare na wewe technology hii ya chemistry.... Kama ni risit kwa karatasi wengi wanazozitumia... sio glossy papper basi itumbukize tu kwenye break fluid kwa muda, then ianike kivulini sio kwenye jua maana inaweza kubadilika rangi au kubleach, basi itarudia hali yake maana printed matters nyingi hutumia barning method, so ile rangi iliyoprintiwa haitadhurika ila iole ya wino wa kuandikwa hufutika kabisa
 
Back
Top Bottom