Natafuta Mwenza !! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta Mwenza !!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Muke Ya Muzungu, Mar 14, 2011.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Msinishangae. Nina miaka 33, single, Msomi, Digrii ya Engeneering ninayo. Mtanashati sana, usafiri wangu ninao. Kazi pia ninayo. Natafuta mwenza, kipenda Roho mpenzi mwanzo, na mke wa baadae. Lazima awe na umbo na Sura ya kuvutia, Napenda Hips na Maziwa makubwa. Lazimwa awe msafi. sitaki mwanamke mwenye harufu chafu au mdomo mchafu. Ukiwa mwembamba pia poa lakini maziwa makubwa muhimu. Sitaki mwanamke mwenye Mume, au Boyfriend, lazima awe single na kazi yake ya maana siyo changudoa. Hata kama hauna kazi, lakini hawe na heshima zake.....Mwenyewe utapenda

  sina, mke, mtoto wala drama, kwa hiyo usilete drama... ukiwa na mtoto mmoja poa. ila isije ikawa kuna drama nyuma yake. kwa maana nitachomoka yanikinizidi kimo

  Simu tubabadilishana baada ya muda wa kuwasiliana. Nipo Dar. muheza1982@hotmail.com
   
 2. s

  shosti JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  :lol::lol::lol:mwe:washing:foleni kubwa sana.....
   
 3. R

  Rutakyamilwa JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2011
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 1,869
  Likes Received: 1,161
  Trophy Points: 280
  acha kutafuta wachumba kwenye mtandao, rudi kijijini wazee wakutafutie mke mwema kama huwezi tafuta mwenyewe, acha mambo ya mitaani
   
 4. SHUPAZA

  SHUPAZA JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2011
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 548
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hahahahaha! wanawake wanaweza kutafutwa online kwenye cyber ,mambo ya kijijini
  yameshakuwa nyuma na muda,sawa mhandisi komaa tu.
   
 5. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #5
  Mar 14, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Hayo masharti hata ya kazi ya Ikulu yananafuu lolllllhhhh haya wasichana kazi kwenu
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Haha hahaha!
  Mbona kama una mashauzi sana.
  Samahani kama nimekujudge vibaya.
   
 7. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  na kweli he is too choosy.....ila hicho kipengele cha maziwa kimeniacha hoi,kasisitiza yawe makubwa........vitu kama hivi kama ndio unavyoangalia kwa mke then unapotea,maziwa in the future atapata watoto atanyonyesha yatasinyaa/anguka utamuacha au?lol:ballchain:
   
 8. W

  Wakuchakachua JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yani ulivyona majigambo lol
  ndio maana hujapata mke na kwa stail hiyo mmh utazeeka
  badilika na punguza mashauzi utapata
  yan umepinda mgongo kuandika upupu kama huo lol
  eti sio changu sidhani kama kuna changu anaejua JF...
   
 9. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #9
  Mar 14, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ha ha haaaaaaaaaa! Kwa hiyo ukiwa 'Injinia' ndo utafute mwenza bara barani/over the cyber? Naona unaelekea kupata changu, na kwa sababu huna uzoefu wa kuwajua wapi machangu na wapi siyo, pole.
   
 10. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #10
  Mar 14, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Eti ana gari, na kazi ya maana! Anapenda maziwa makubwa! Ya kichina je? This guy is an amateur! Itakubidi uishie jolly club kama si ambiance/corner bar
   
 11. Mamuu55

  Mamuu55 Member

  #11
  Mar 14, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watu mna mashushu mpaka jamaa kakimbia
   
 12. Mamuu55

  Mamuu55 Member

  #12
  Mar 14, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sifa zingine ni za kijinga na uinjinia wako peleka huko hapa huwezi kupata hata haya huna wewe
   
 13. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #13
  Mar 14, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  mmmmh tatizo umejisifia saaana lol, mie nina watoto saba na waume sita then pia nawewe nataka uongezeke tehetehe hii ni drama
   
 14. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #14
  Mar 14, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Sharubaru wa Towni !!!
   
 15. s

  sekilonge tenga Member

  #15
  Mar 14, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakati uko chuo ulikosa wasomi wenzanko?
   
 16. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #16
  Mar 14, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,143
  Likes Received: 870
  Trophy Points: 280
  Nina mashaka na jinsi unavyotongoza yawezekana huwa unapoteza time sana kwa kujimwagia sifa!
   
 17. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #17
  Mar 14, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  huyu ni kiboko, anatongozea uinjinia. huyu atakuwa ni mdomo zege
   
 18. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #18
  Mar 14, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Injinia kazini jamani
   
 19. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #19
  Mar 15, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Komaa kwenye foleni ujaribu zali lako,uckate tamaa unaweza ukajikuta unaokota pochi lenye hela
   
 20. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #20
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
Loading...