Furaha yao hata sijuwi inatokea wapi? Basi wanavyoona sifa kuwakera wenzao.... utasikia prrrrrrhh, eti wanamjambishia kwasababu ana midadi. Mh! jamani binaadamu wanavituko hadi ktk magojwa ya...
Jamaa mmoja na mkewe pamoja na watoto wao wawili,amina na amoni walikuwa wakiishi kwenye chumba kimoja tu.Amina alikuwa na miaka 8 na amoni alikuwa na miaka 5.Ilikuwa ikifika night,wote wanalala...
Watoto walikuwa wanacheza, mara mtoto mmoja wa kiume akaumizwa sehemu yake ya siri ikawa inatoka damu, akaenda kwako huku analia sana. Mama yake pamoja na kina mama wa jirani wakatoka na kwenda...
Jana nilikuwa halimashauri ya kahama mjini ghafla akaja mtu aliyepindua kura za uchaguzi mkuu mkoa wa shinyanga, nilipomuuliza mwenyeji wangu ambaye pia nai kati ya maboss wa wilaya ya kahama...
Three nuns were talking. The first nun says, "The other day, I was cleaning Father McInty's room and I found pornographic magazines under his bed!"
The second nun says, "I can top that. Yesterday...
Jamani ni muda wa wiki moja sasa sina access na e-mail address yangu kwa kuambiwa kuwa eti natumia wrong password!! Lakini cha kushangaza ni kuwa wale wote walio katika address book yangu ya...
Forget about Babu wa Loliondo and/or CUF (na Sheikh Simba) and CCM marriage, this cartoon and the subsequent photo, give a proper picture of who JK is. Enjoy them both!!!
Ghabo wa ivorycoast chaliiiiiiiii
hatimaye ghabo asalimu amri. asiyesikia la mkuu huvunjika guu?
je unafikiria yaliyompata GHABO ynaweza kutokea tanzania???????????????????????
anguko la ccm...
Nimebandika hivi baada ya kuona kupitia runinga, tunzo za kili. Wasanii waliopata tunzo walitoa shukrani zao bila kumsahau mama. Hakuna hata mmoja aliyewashukuru wazazi (baba akiwepo). Au ndio...
hembu tuone maoni yetu juu ya watanzania
mfano: watanzania walio wengi ni wagonjwa ndio maana wanasababisha foleni kwa babu loliondo!
haya nanyi endeleeni
Chinese couple in Dar-es-lalaam gave birth to a black baby and husband asked wife: Chu, why our baby is black..? she replied... we live in Tanzania no electricty..me hot, you hot, sex hot..Baby burnt
Wakiwa wamelala, ghafla walishtukia wameingiliwa na mtu chumbani panga mkononi. Mume akiwa anatetemeka kwa woga, akasema:
"Tafadhali usitudhuru, tutakupa utakacho".
Yule mvamizi akajibu, "Mimi...
Wakubwa hivi hawa watu wanaoshindwa kutuma msg vizuri kwa kutumia simu zao mnawasomaje??!si waombe msaada kwa watu wanaojua wawaelekeze,tatizo la wabongo kujifanya wanajua kila kitu hata kama...
Kuna ghorofa Mbili zilivunjwa kule masaki maeneo ya Toure Drive kwa Amri ya mahakama, Kisa ujenzi wake haukufuata taratibu za mipango miji.
Leo nimepita maeneo yale naona ujenzi unaendelea.
Kama...
Cartoon Laws of Physics
Cartoon Law I
Any body suspended in space will remain in space until made aware of its situation.
Daffy Duck steps off a cliff, expecting further pastureland. He...
Actual Science Tests Report...
These are reputedly real answers to questions on science tests.
When you smell an odorless gas, it is probably carbon monoxide.
Water is composed of two gins...
Mwaka 2007 nilikuwa miongoni wa wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam waliobahatika kumsikiliza Mh. Thabo Mbeki pale Nkwame Nkrumah Hall. Alitoa hotuba nzuri iliyojaa changamoto nyingi sana...