Umekutana na wizi wa namna hii!

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,701
Jamani ni muda wa wiki moja sasa sina access na e-mail address yangu kwa kuambiwa kuwa eti natumia wrong password!! Lakini cha kushangaza ni kuwa wale wote walio katika address book yangu ya e-mail wamepata meseji hii hapa eti nimekwama Europe......tehe tehe tehe eeeh!! wakati mimi nipo huku Kavifuti nahudumia shamba langu la mahindi.....Naomba mwenye utaalamu anisaidie namna ninayoweza kurecover e-mail address yangu!!!

Hello ,

I'm contacting you as i need your urgent financial assistance, I made a trip to Europe just for a short vacation tour but, it all ended ugly. Cash, credit card & my cell phone were all stolen from me, as i got robbed by some unknown gun men last night. My credit card, can't be charged by the hotel as i already reported it as a stolen card,and had been canceled, so i can only get a new one when i make it back home safely.

Please, i need to sort my Hotel bills & Schedule a return flight ticket back home. let me know if you can be of great financial assistance to me with some cash. I will be waiting for your response as soon as possible, so i can proceed to provide you with details on how you can get the cash across to me over here.

Thanks
God.
 
Ulitumia email na wanaijeria wakijifanya ni google au yahoo cjui watumia email gani? Then uliwapa pass word yako so hayo ndo maumivu.unaweza riport wakakurudishia your email account pole sana.
 
Pole mkuu. nimecheka mpaka basi coz nimejaribu kufungua E-mail yangu from last week lakini hola. May be kuna mtu yuko busy anafanya mambo haya. Mkuu mimi siwezi tuma doo kirahisi namna hiyo
 
sijui lakini wengine hata hutoi password mpendwa,na siku hizi sio wanigeria peke yao
 
Ulitumia email na wanaijeria wakijifanya ni google au yahoo cjui watumia email gani? Then uliwapa pass word yako so hayo ndo maumivu.unaweza riport wakakurudishia your email account pole sana.
Natumia hotmail, sijawahi toa password kwa mtu yeyote. Sijui wamefanyaje hadi wakaingia katika mail yangu..
 
Pole mkuu. nimecheka mpaka basi coz nimejaribu kufungua E-mail yangu from last week lakini hola. May be kuna mtu yuko busy anafanya mambo haya. Mkuu mimi siwezi tuma doo kirahisi namna hiyo
Hawa wezi sijui wanadhani watu wote wajinga! Nilipigiwa simu na ndugu yangu mmoja akiniuliza imekuwaje nimtumie meseji kama ile, ndipo wengi zaidi wakanieleza kuhusu hiyo meseji
 
Katavi labda tu ufungue email nyingine maana mimi ilinukumba ilikuwa kwenye yahoo na sikutoa password kujaribu ikagoma kabisa ikabidi nifungue the other email address. Pole
 
Katavi labda tu ufungue email nyingine maana mimi ilinukumba ilikuwa kwenye yahoo na sikutoa password kujaribu ikagoma kabisa ikabidi nifungue the other email address. Pole
Nimefungua nyingine ila wameniharibia sana!
 
Pole sana mkuu, Mie nilikutana nayo
kidogo nimtumie mdogo wangu but nilikuwa na cm yake nikampigia akaniambia ni mapopo hao !

Hawa watu kutwa wanambinu za kuibia watu dunia nzima.
 
Avoid anything that looks like Lottery; say you have won this or that, do not even try to open because it's usually linked to a malware that takes all personal info.
Ushauri ni kwamba ukaona e-mail toka source usioifahamu DO NOT OPEN!
 
Pole sana mkuu, Mie nilikutana nayo
kidogo nimtumie mdogo wangu but nilikuwa na cm yake nikampigia akaniambia ni mapopo hao !

Hawa watu kutwa wanambinu za kuibia watu dunia nzima.
Yaani usipokuwa kuwa makini unaweza ukaingia kichwakichwa na kudhani ni kweli mwenzako kakwama kumbe ni utapeli tu.
 
Mambo haya yapo kwa mataifa mengi mojawapo yakiwa LIBERIA, SIERRA LEONE, NIGERIA, IVORY COAST,UGANDA NK KIMBIA FASTA TOKA NDUKI
 
Jaribu kuingia kwenye account yako na uwajulishe hii issue. unaweza kuulizwa maswali kama umesahau password na/au username. Vilevile utaulizwa maswali na majibu ya siri uliyoweka wakati wa kujiunga. Ikiwa unakumbuka yote haya unaweza kuipata upya. Pole sana.
 
Avoid anything that looks like Lottery; say you have won this or that, do not even try to open because it's usually linked to a malware that takes all personal info.
Ushauri ni kwamba ukaona e-mail toka source usioifahamu DO NOT OPEN!

Kweli kabisa hizi meseji zinazokuja halafu source hazijulikani ni hatari...
 
Jaribu kuingia kwenye account yako na uwajulishe hii issue. unaweza kuulizwa maswali kama umesahau password na/au username. Vilevile utaulizwa maswali na majibu ya siri uliyoweka wakati wa kujiunga. Ikiwa unakumbuka yote haya unaweza kuipata upya. Pole sana.
Nimejaribu inaonekana wamebadili kila kitu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom