Ukarabati wa Ghorofa Mbili zilizobomolewa Kule Masaki. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukarabati wa Ghorofa Mbili zilizobomolewa Kule Masaki.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mlachake, Apr 4, 2011.

 1. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,923
  Likes Received: 631
  Trophy Points: 280
  Kuna ghorofa Mbili zilivunjwa kule masaki maeneo ya Toure Drive kwa Amri ya mahakama, Kisa ujenzi wake haukufuata taratibu za mipango miji.
  Leo nimepita maeneo yale naona ujenzi unaendelea.
  Kama mmiliki amshinda kesi Ina maana Serikali ilikurupuka kuchukua uamuzi wa kuyabomoa.
  Does anyone have the story behind this? Au wamevizia tukiwa bize na Loliondo wakafanya mambo?
   
 2. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,086
  Trophy Points: 280
  maopportunist ndivyo wanavyofanikisha mambo yao hivyo ....wanategea mijadala ya loliondo imepamba moto nao wanachangamkia 'tenda'!
   
 3. RR

  RR JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Jamaa alishinda kesi mazee......
   
Loading...