Mpe atakacho

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
3,811
1,604
Wakiwa wamelala, ghafla walishtukia wameingiliwa na mtu chumbani panga mkononi. Mume akiwa anatetemeka kwa woga, akasema:
"Tafadhali usitudhuru, tutakupa utakacho".
Yule mvamizi akajibu, "Mimi sitaki chochote zaidi ya kumla mtu uroda".
Mume alishusha pumzi na kumwambia mkewake, ingawa inauma, "Mpe atakacho".

Mvamizi akamsogelea mwanamke na kumnong'oneza kitu, badaye akaelekea chooni.
"Kakwambia nini? mume alimwuliza mkewake.
"Kasema yeye ni basha, kaenda chooni kuchukua vaseline".
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom