Mkwaruzo
JF-Expert Member
- Feb 21, 2011
- 563
- 98
Furaha yao hata sijuwi inatokea wapi? Basi wanavyoona sifa kuwakera wenzao.... utasikia prrrrrrhh, eti wanamjambishia kwasababu ana midadi. Mh! jamani binaadamu wanavituko hadi ktk magojwa ya wenzao. Sijuwi ni nani wanaoudhiwa huko mitaani zaidi ya hawa? HAIPENDEZI