Alichakachua kura za shinyanga mjini ahamia kahama kinyemela | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Alichakachua kura za shinyanga mjini ahamia kahama kinyemela

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by chitambikwa, Apr 5, 2011.

 1. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Jana nilikuwa halimashauri ya kahama mjini ghafla akaja mtu aliyepindua kura za uchaguzi mkuu mkoa wa shinyanga, nilipomuuliza mwenyeji wangu ambaye pia nai kati ya maboss wa wilaya ya kahama aliyekerwa, haya ndiyo aliyoniambia:
  1. Huyu ndiye aliyepindua matoke ya kahama, amekuwa anajificha hapa na kwenda kuchukua mshahara kuwa eti bado anafanya kazi manisipaa ya shinyanga.
  2. Hajawahi kuchukuliwa hatua yoyote pamoja na kukosa kwenye kituo chake cha kazi kwa mda mrefu.
  3.Anashinda hapa anajizungusha maofisini tu eti anasubiri kupanda cheo,
  4.Anasema pia eti alijisikia vibaya wapinzani kushinda ndo maana aliyapindua hmatokeo
  5.Utumishi makao makuu wanajua na hawajamchukulia hatua yoyote, eti kusaidia ccm kushinda huwezi kuchukuliwa hatua yoyote.

  Ntarudi wiki ijayo kuwajuza zaidi waungwana
   
 2. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Pumba zingine!
   
 3. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Pia yawezekana kuwa ya ukweli -- kwa madudu yanayofanyika ndani ya serikali ya JK! Kila mara huwa natema mate chini!
   
 4. K

  Kiti JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 228
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Huyo ni aliyekuwa Mkurugenzi wa manispaa ya shinyanga aliyekimbia kituo cha kazi baada ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa. Tunajua nyumbani kwao ni Kahama. Hivi hajarudi? analipwa mshahara? hBado hajateuliwa mkurugenzi mwingine Shinyanga? kweli hii ndio nchi ya wadanganyika.
   
 5. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #5
  Apr 5, 2011
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Mkuu kuna pumba gani hapo? Huo ni uozo ulioko serikalini ambao unapashwa kupigiwa kelele kwa nguvu zote. Halafu wewe unasema ni pumba? Anyway tunajua huko kazini na unatetea kitumbua cha watoto. Shame on you.

  Tiba
   
 6. Pena

  Pena Member

  #6
  Apr 5, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Huyo jamaa hajawahi kukimbia ofisi. Kila siku yuko kazini kama mtumishi mwengine wa kawaida. Kwa sasa Mkurugenzi huyo yuko likizo, anamaliza tarehe 8/4/2011. Kahama ndiko alikoanzia kazi kama mchumi, na ndiko alikojenga mji wake. Hajawahi kukosa kazini hata siku moja.
   
 7. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #7
  Apr 5, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  mkuu,si lazima utende dhambi kwa kutetea ujinga. Mi sijawahi kufika huko,lakini kuna kijana ambaye huja dar kwa semina za CPA/ holders tulikutana hapa dar mwanzoni mwa mwaka huu akatueleza ukweli kuwa jamaa anaishi maisha magumu sana na familia yake inalindwa kwa ulinzi maalum kwa maelekezo ya ikulu. Bila ushabiki mi nashauri bora apewe uhamisho nje ya mkoa huo kuliko kuendelea na mateso anayoyapata kwa wakati huu. Pia,baada ya kusoma thread hii nimeongea na mtumishi wa wilaya ya kishapu kaniakikishia kuwa bado mtu uyu ana wakati mgumu. Yeye anadai kuwa bora angekuwa ameiibia ccm kura ili ishinde,hapana,yeye alibatilisha matokeo ya mpinzani na kumtangaza ccm siku moja baada ya kusherekea ushindi wa mpinzani. Jk akiongozana na Makamba walifika pale shinyanga na kubatilisha ushindi. Kwa ili tukija jf tuwe tayari kuonesha ukweli bali si kupinga tu!
   
 8. d

  dotto JF-Expert Member

  #8
  Apr 5, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Jk alisema wafanyakazi hewa wachukuliwe hatua. Je, hili halijui!!??
   
Loading...