Baba yake akikuta amekwisha nani hii...hapatakalika!!

Wa Nyumbani

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
438
65
Watoto walikuwa wanacheza, mara mtoto mmoja wa kiume akaumizwa sehemu yake ya siri ikawa inatoka damu, akaenda kwako huku analia sana. Mama yake pamoja na kina mama wa jirani wakatoka na kwenda kumwangalia. Mama mmoja akasema, Lakini hajaumia sana, hata hivyo, apelekwe hospitali ambako atakatwa na jando moja kwa moja maana alikuwa hajakatwa.

"Nani!! thubutuuuu!! baba yake akija na kukuta amekatwa hapatakalika hapa! kwao hawakati!" mama wa mtoto akajibu kwa hamaki.
kina mama wote wakaondoka wameinamisha vichwa chini.
 
Back
Top Bottom