JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hawaangalii ukubwa na unene, wanaangalia uzito na kina...!. Usione reli imekonda, ndiyo inayobeba mabehewa makubwa." Kwani kilo ya dhahabu na kilo ya sufi ipi Ina thamani kubwa!?
9 Reactions
56 Replies
734 Views
Utakapofanya kosa la kuvuruga watu au utaratibu mwisho wake maji utaita mma
3 Reactions
7 Replies
147 Views
Wivu mbaya na chuki ya kupitiliza ni sumu kali ya kiroho inayomfanya mtu aanze kufikiria au kutenda mambo ya kishirikina na kijicho. Huu usemi usemao "Wivu ni darasa la mwisho kabla ya kufuzu...
14 Reactions
42 Replies
537 Views
Kuna nyakati nyingi ambazo akili zetu huwaza mambo ya kijinga au yasiyo na mantiki, na hata kutufanya tuyandike au tuyazungumze Hali hii ni ya kawaida kibiolojia na kisaikolojia, lakini pia...
10 Reactions
36 Replies
382 Views
Wana jukwaa nimekuwa kimya mda wa siku kadhaa ni baada ya kuwa nilikuwa nafanyiwa upasuaji ili kutoa sumu ilokuwa mwilini mwangu. Hii ni mara ya pili nafanyiwa upasuaji na namshukuru mungu zote...
10 Reactions
33 Replies
386 Views
Kuna vikaunti vingi vya kike ila mwandiko kabisa wa kiume na muda mwingine wanajisahau kabisa kukaa kwenye cover up yao. I think they are gays, haiwezekani kidume utengeneza akaunti ya kike na...
14 Reactions
33 Replies
412 Views
Utafanyaje utapogundua mwenza wako ni 1. Msagaji 2. Wali nazi? Utafunika kombe mwanaharamu apite ama utachukua maamuzi magumu? Utathubutu kuwaambia watu uhalisia ama utakufa na siri yako?
15 Reactions
166 Replies
2K Views
Wakuu, achaneni na mambo ya siasa na uchumi, njoeni hapa pande za ChitChat tupige story za ukweli. Leo nataka tuongee kuhusu hawa viumbe wa ajabu wanaoitwa "Vibenten" na "Mamarioo." Nitaongea...
16 Reactions
75 Replies
1K Views
Neno "Mshangazi" (au wingi wake "Mishangazi") katika lugha ya mitaani limebeba maana mpya na ya kipekee. Tofauti na maana rasmi ya dada wa baba, neno hili sasa linamaanisha wanawake waliokomaa...
20 Reactions
322 Replies
3K Views
Somo la Leo: HUSUDA Husuda huanza kumla mwenye nayo moyoni. Huleta msongo wa mawazo na sonona. Mhusuda hukonda kwa mafanikio ya wengine.
8 Reactions
58 Replies
455 Views
Wana Arsenal walikuwa wameturingia sana kipind cha kwanza. Ila sasa wanameza tu mate maana kikombe kimewatoka. polen sana Arsenal ss PSG...
1 Reactions
6 Replies
85 Views
Hello members!! Nimekua nikisoma id za members kwa kweli zingine zinafurahisha, zinahuzunisha na kusisimua pia. Nimeona kuanzia uzi huu maridhawa kabisa mwana jamii pita hapa tueleze maana na kwa...
23 Reactions
472 Replies
20K Views
Anahitajika Single Mama Madam wa chekechea awe na mtoto wake umri mwaka 1 au 2 au 3 Atakabidhiwa kusimamia shule na kupewa sehemu ya kukaa yeye na Mtoto wake Atalipwa salary kwa makubaliano na...
7 Reactions
27 Replies
384 Views
Mko poa wakuu🥰🥰
3 Reactions
22 Replies
284 Views
Achana na mkeo 2. Nenda ulaya urudi 3. Soma sana 4. Usisome kabisa 5. Jua kuandika 6. Uwe mwongeaji 7. Ujue hotuba za nyerere 8. Hamia mkoa nilioko kwa sasa 9. Usijue soko liko umbali gani 10...
2 Reactions
22 Replies
242 Views
Mmesikia wakuu.
6 Reactions
102 Replies
2K Views
Haiwezekani ukawa mwanaume usiwe shabiki wa mpira. Hawa members lazima wawe mashabiki. Tena kwa lazima kwaanzia mechi ya leo usiku Arsenal vs PSG. Hata siku moja hawajawahi kucomment ama kuposti...
2 Reactions
6 Replies
111 Views
vipi mdau ulichukua hatua gani kurudisha gharama zako?
3 Reactions
16 Replies
211 Views
Mwamba bado ana Fikra za Kuwaletea Jamii maendeleo ya £45,000,000,000,000 wakati Sumu ya Panya ni 100.
1 Reactions
17 Replies
196 Views
Kufanya ngono salama na yenye upendo huongeza maisha ya binadamu badala ya kuyafupisha, kwani tendo hili huboresha afya ya mwili na roho kwa wakati mmoja. Kisayansi, watu wanaoshiriki tendo la...
17 Reactions
74 Replies
799 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…