Ndugu zangu sisi bado hajubahatika kufika 2024, nyie mlioko huko 2024 tupeni update changamoto mnazo kumbana nazo ili iwe rahisi kwetu sisi wa 2023 kujipanga na 2024.
"UKISHAMJUA MNAFIKI ISHI NAE KINAFIKI"
Kama kuna Mtu niliyeyapenda hayo (haya) Maneno basi ni Mimi GENTAMYCINE kwani hata hapa JamiiForums na kwingineko kuna watu naishi nao hivyo hivyo kinafiki...
Habari wakuu, herini wote kwa sikukuu za mwisho wa mwaka.
Tukiwa kwenye siku ya mwisho ya mwaka 2023 ni jambo jema sana kumshukuru Mungu na kumuomba atuvushe salama wote tuuone na kuuanza mwaka...
Wana JF ebu tuambizane ni tukio gani lililowahi kukusibu mpaka ukawa na mawazo ukakosa usingizi kabisa ,usiku wa manane ,Kwangu Mimi.
1 .Tukio la kwanza niliwahi kukosa usingizi baada ya kupata...
Have been hustling hard lately but everything is still not in order. If by chance you know New Year Holiday is already sure for you please do well to post ur location.
I got some peppers in my Coat.
Nikiwa kwenye daladala nyuma kabisa, pembeni yangu kuna mkaka akifuatiwa na mdada.
Actually mimi ndio niliowakuta, na katika kucheki mazingira kwa haraka haraka inaonekana kama kulikua na...
Maziwa ya mgando kwangu ni kama mboga za majani, chakula hakishuki bila mtindi
Kwa siku lazima nitumie gb 2 hadi 3, nazitumia kucheki youtube, netfllx, video calls, backups, updates, n.k. jf...
Salaaaam wanajamvi Natafuta chimbo la kuweza kupata upepo mwanana wa kiyiyozi (AC) hili joto la mjini SALIDARAMA balaaaaaaa feni haifui Dafu hata sekunde chimbo liwe reasonable unazuga zuga pale...
Tujuane wadau, labda nilipokaa hapa kuna member wa jf nae ana-browse ila hatujuani.
Nimerudi Dar jioni hii ila nimetulia hapa Micassa Pub Ubungo
Uko wapi mdau?
Mshana Jr
LIKUD
The Boss...
Nipo hapa local bar namalizia glass ya mwisho ili niondoke, lakini Kuna muda pombe ni mbaya sana, yaani faida ni ndogo sana kuliko hasara.nimejikuta najikumbusha kisa kimoja kilinikwamisha sana...
Wakati tunataka vazi la Taifa basi mbege ifanywe iwe pombe au kinywaji cha taifa
Kiukweli hakuna kama mbege!! Tena upate iliyolala siku 3 daaaah
Wakuu hakuna kitu kizuri kama mbege yaani unalewa...
Ukifungua nyuzi nyingi huku jamiiforums utashangaa sana kwenye section ya comment kila mtu ana-vimba mfano kama mtu amekuja kuomba msaada utastaajabu watu wanavyotoa majibu ya hovyo sana na...
Habari wakuu, ehee niko apa tena kuomba msaada kwa ajili ya mwili wangu. Nahitaji mganga mchawi kwa ajili ya kunitolea uchawi mwilini, maana nikifanya dawa inafanya mwanzo halafu inafifia, tiba...
Wakuu hii tabia imekaaje?
Sometimes huwa nawaza labda wadau wananichukuliaje maana kwangu hii ni tabia sugu.
Sijawahi kuweka status whatsapp na huwa sifungui kabisa status za watu japo huwa...