Haya tena wakuu nawauliza Swali Kuna binadamu aliye zungumza na Mwenyeezi Mungu, huyo binadamu anaitwa nani jina lake?Nawaombeni munipe jibu lililokuwa sahihi asanteni sana.
Jaman waheshmwa hatuombei ila 2angalie mbele kidogo
hvi hawa al-shabaab wakija Tanzania itakuwaje,
mimi binafsi nadhani ili kuokoa damu ya watanzania 2waombe mazungumzo kwani hata 2kisema...
inasemekana kuwa kuna kesi imefunguliwa mahakamani na Wamasai dhidi ya Wasukuma wakidai eti wao ndo wenye hati miliki ya ng:ombe wote tanzania.
hiyo kesi imefikia wapi
3 NICE FACTS :-
1. Once, all villagers
decided to
pray for rain, on the day of
prayer
all people gathered and
only one
boy came with an
umbrella ...
THATS FAITH
2. Example of the...
nipo mahali nafuraiha mwisho wa week baada ya kazi nzito ya kusaka noti week nzima.. Ghafla naangaza juu angani naona kama mwezi umetengeneza duara...hivi hii kitu maana yake nini kisayansi...
Wavuta bangi wawili waliliona embe juu ya mti wakaamua kulipopoa.Walirusha mawe mengi bila kufanikiwa kuliangusha lile embe.Mvuta bangi mmoja akasema;isije ikawa embe lenyewe bichi,ngoja nipande...
A month ago, I read that smoking can kill me, so i quit smoking; Two weeks ago, I read that nyamachoma can kill me, I stopped eating nyamachoma; One week ago, I read that drinking too can kill me...
A Rude Drunk
Three guys are drinking in a bar when a drunk comes in, staggers up to them, and points at the guy in the middle, shouting, "Your mom's the best sex in town!"
Everyone expects a...
Guilty Howard
Howard had felt guilty all day long. No matter how much he tried to forget about it, he couldn't. The guilt and sense of shame was overwhelming. But every once in a while he'd hear...
Jaman watumishi wa serikali!Jaman watumishi wa serikali nyie!
Watumishi wa serikali walienda kwa babu Loliondo, baada ya kupata kikombe babu akawaambia,
"haya 500 yangu"
si wakatoa kadi za bima ya...
mwalimu mmoja wa PHYSICS alikutwa akitongoza mwanamke mitaa ya uswahilini kiphysics zaidi kama ifwatavyo.
listen baby wheneva i see u ma heart accelerate 2 da maximum velocity `v`, initially...
Jamaa yangu huwa nafanya part time job baada ya masomo yake muda wa jioni nchini Norway. Hivi karibuni kakutana na kauli ya dharau toka kwa kibabu kinachotunzwa ktk nyumba za wazee. Jamaa wakati...
Teacher: - What's wrong?
Johnny: - Our house is very small. Me, my mum, my dad, we sleep on the same
bed. Every night my dad asks, 'Johnny r u sleeping?' Then I say No & then he slapped my face...
ebana leo nimeshuka ubungo terminal kutoka mkoa, nikaenda kupanda daladala za gongo la mboto (DCM aka gobore), daladala zikawa za kugombania lakini nikabahatisha kupanda japo sikupata siti...
Kwa wale wenzangu mliopitia JKT kwa mujibu wa sheria au vinginevyo.
Ni mkasa gani MKUBWA ambao ulikumbana nao ukiwa JKT aidha kwa uzembe wako mwenyewe kwa kutozingatia kanuni na sheria za JKT...