Tafaadhal! Wanajamii forum mnalionaje hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tafaadhal! Wanajamii forum mnalionaje hili

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by NIMEKIMBIA CCM, Nov 6, 2011.

 1. N

  NIMEKIMBIA CCM Senior Member

  #1
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jaman waheshmwa hatuombei ila 2angalie mbele kidogo
  hvi hawa al-shabaab wakija Tanzania itakuwaje,
  mimi binafsi nadhani ili kuokoa damu ya watanzania 2waombe mazungumzo kwani hata 2kisema tupambane nao 2tainga hasara kwakupoteza raia wakati wakuu wanch wakilindwa,
  co kuwa naogopa ila 2jarbu kuangalia upande wa pl wa shlng,jaman vlevle nackia et kenya wanataka kupambana nao mi naamin wataisha kuuwa wananch waco na hatia kwan hawa al-sb hawana alama hvo watakuwa wanahc
  JE AL-SHABAAB WAKJA tz WE UNASHAUR NN?
   
 2. v

  valid statement JF-Expert Member

  #2
  Nov 6, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Usitumie 2 kufupisha Tu.
  nashauri uombee nchi yako amani. Waje kufanyanini?
   
 3. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #3
  Nov 6, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Wapo wengi tu mbona? Hata hpa JF si wapo? Kwani Faiza si mmoja wao???
   
 4. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  una hamu nao nikuitie?!!
   
 5. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #5
  Nov 7, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,108
  Likes Received: 6,585
  Trophy Points: 280
  Umeanza vita,
  lwako, mi sipo.
   
Loading...