kesi kati ya masai na msukuma

Mangolo

Member
Oct 30, 2011
28
11
inasemekana kuwa kuna kesi imefunguliwa mahakamani na Wamasai dhidi ya Wasukuma wakidai eti wao ndo wenye hati miliki ya ng:eek:mbe wote tanzania.
hiyo kesi imefikia wapi
 
Wote wameshindwa, kesi imefutwa, hati miliki kakabidhiwa mtu anaitwa Mangolo.
 
Masai wamekata rufaa eti majaji hawakuwatendea haki kwa kuwa wao (majaji) wote ni wasyonji.
Imeamuriwa majaji wawe kabila neutral na wameteua wakurya, nusu warinchoka na nusu wanchare.
 
wamependekeza kugawa nusu kwa nusu ng'ombe na wamempekeza magufulimagawe 7bu ndo anjuwa idadi yake
 
Back
Top Bottom