Samaki mtamu jamani!!

Kuku ndio mtamu kwani unakula hadi mifupa! samaki unaacha miba na wengine kichwa hawakipendi....
 
Kuku ndio mtamu kwani unakula hadi mifupa! samaki unaacha miba na wengine kichwa hawakipendi....

Huyo atakuwa wa kisasa!! wa kienyeji lazima uvunje meno! Loh!
 
nimefungua nikijua kuna bonge la picha.weka picha tuone kidogo bana!.mia
 
Mbasa wa wapi hao.

Hebu tulistie harakaharaka kuna aina ngapi!! mana mi samaki ni samaki tu.

Ni ziwa nyasa kule, wana mnovu mtamu kuliko samaki wote, wana mafuta mengi, nyama yake ni nyeupe kupita maelezo!
 
Kweli watamu ndugu!! Lakini sio wote wana miba.

Nadhani Sato hana miba, na ni mtamu kinoma.
 
sasa mkuu utakulaje upande mmoja? samaki sharti aliwe pande zote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom