nipo mahali nafuraiha mwisho wa week baada ya kazi nzito ya kusaka noti week nzima.. Ghafla naangaza juu angani naona kama mwezi umetengeneza duara...hivi hii kitu maana yake nini kisayansi??? Wenzangu hapa wanasema ni dalili za mvua nyingi mwaka huu ... Kwa mwenye kjujua naomba anifahamishe