JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kumekuwa na misemo mingi sana iliyotamba na kushika umaarufu mitaani kwetu. Wanajamvi tukumbushane hapa misemo iliyojipatia umaarufu nchini katika mwaka huu wa 2023 ambao umebakiza siku chache...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Unazeeka au nikuache kwanza? 🙆‍♂️. 1983 - 40 1984 - 39 1985 - 38 1986 - 37 1987 - 36 1988 - 35 1989 - 34 1990 - 33 1991 - 32 1992 - 31 1993 - 30 1994 - 29 1995 - 28 1996 - 27 1997 - 26 1998 - 25...
19 Reactions
139 Replies
9K Views
Habari wakuu, maisha yana mjumuiko wa matukio mengi sana. Kuna matukio ambayo wengi wetu tunapenda kuyasikia sana na hayatupi shida yeyote, haya ni matukio mazuri au habari njema mfano, kupata...
8 Reactions
95 Replies
4K Views
Nimelala nao na nalala nao kila siku. Usijali, I'm not cheating on CheusiDawa na kiumbe mwingine. Ni hivi, mie huwa nalala na mamilioni ya hivi viumbe wanaoishi kwenye kitanda changu. Wanaitwa...
7 Reactions
24 Replies
1K Views
Hellow Guys! Hope mnaendelea vizuri. It’s “Ms Eyes” again. Sorry naombeni ushauri ni kwa namna gani naweza kuongeza idadi ya watu as you all know dunia ya sasa hivi bila connections ni ngumu sana...
25 Reactions
225 Replies
8K Views
Mshamba ni nani? Jibu : Mshamba ni mshamba. Haya sasa utamjuaje mshamba au huwa unatumia vigezo gani kuconclude kwamba mtu fulani ni mshamba? Mimi huwaga naangalia vitu kadha wa kadha...
16 Reactions
72 Replies
4K Views
Mwaka ndo huu una ishia, japo zime baki siku chache ila hakuna mwenye uhakika kwa asilimia 100 ata toboa 2024. 👉Sina mpango wa kukutisha, ila ni hulka yangu kuanza kwa mikogo na kumaliza kwa...
21 Reactions
154 Replies
6K Views
Habari zenu Wakuu, Tokea nimejiunga JF leo ndio nimekuja kugundua kuwa uzi wa chai/uongo una nguvu na una wachangiaji wengi kuliko uzi wa ukweli. Mara nyingi nimekuwa naandika nyuzi za ukweli...
2 Reactions
20 Replies
879 Views
Ety wakuu mnaotumia CRDB.. vipi mshahara wa mwezi September.. ushatoka...?
4 Reactions
95 Replies
6K Views
Akianza Mzambia Adui ataangamizwa na Kujutia hata Kukutana nae.
0 Reactions
1 Replies
407 Views
Wakuu mambo vipi? Kutokana na leo kujihisi kuchoka choka, inabidi nijaribu kutafuta kiwanja kizuri angalau siku ya kesho nami niweze kufufuka na bwana. Nauliza kati ya hii miji; Dodoma, Mwanza...
3 Reactions
58 Replies
3K Views
Mimi nasikiliza huu
7 Reactions
2K Replies
152K Views
Naomba kuwatambua wanajamii forum waliosoma musoma technical.
0 Reactions
35 Replies
9K Views
Yaani Mashati yetu yenye Vifungo unayauza kwa Tsh 40,000/ halafu Wewe unachukua Tsh 38,500/ na Sisi Mazuzu wa Mafurikoni na Vyura wetu unatupa Tsh 1,500/ tu. Nadhani bado hujatujua Sisi Mazuzu.
1 Reactions
1 Replies
360 Views
Hello guys, nimemaliza chuo hivi sasa niko huru Haya leteni michapo ya mapenzi tupenzike kwa pamoja Ila msiniporomoshee mitusi yenu, maana wanaume wa humu kwa gubu hamjambo😃
4 Reactions
15 Replies
532 Views
4 Reactions
7 Replies
589 Views
21 yrs Old: Siwezi olewa na mwanaume ambaye hana gari 25 yrs Old: Kikubwa tu awe na kazi ya maana. Mengine tutayaweka sawa tu 29 yrs Old: Awe na shughuli yoyote tu ya kumuingizia kipato 33 yrs...
4 Reactions
8 Replies
526 Views
Unapitia NINI mwanakwetu? Usife na tai shingoni, eleza kinabaubaga tusikie...tatizo NIIIIIINI?
3 Reactions
9 Replies
448 Views
Eti kama hizi stress za mapenzi zingekuwa zinaua wewe ungekuwa marehemu tangu mwaka gani? Aah yaani mimi ningekufa mwaka jana yaani ningekuwa sasa hivi nimebaki mifupa ila Alhamdulillah...
9 Reactions
52 Replies
2K Views
Back
Top Bottom