Chai ina nguvu kuliko ukweli

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Habari zenu Wakuu,

Tokea nimejiunga JF leo ndio nimekuja kugundua kuwa uzi wa chai/uongo una nguvu na una wachangiaji wengi kuliko uzi wa ukweli.

Mara nyingi nimekuwa naandika nyuzi za ukweli lakini wachangiaji wamekuwa wanavaa mask na kujifanya hawaoni na wala hawajali.

WAKUU KUANZIA SASA TEGEMEENI CHAI ZA KUTOSHA KUTOKA KWANGU.

Uzi Tayari.

Moderators nawapenda na naomba tuheshimiane.

JamiiForums2144198311.gif


JIANDAENI KWA CHAI ZA KUTOSHA.
 
😂😂punguza kushinda huku,fanya kazi,wenzio washinda humu ni majobless 🤣🤣shaurilo,wanatafuta umaarufu wa mitandaoni kujifariji.
Uzuri ni kwamba haunijui Mkuu, laiti Kama ungenijua mimi ni nani usingesema ulichonena hapo.

ASANTE KWA KUJALI MKUU.
 
Back
Top Bottom