JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuna watu wamekuwa wakiniambia eti nikagombee ubunge kwa tiketi ya cdm kule arusha eti kwa vile jina la mbunge aliyeenguliwa GODBLESS na hili la kwangu GODLESS yanalandana. Mimi nasema siwezi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Dah, nimechaka kweli leo japo tuna majonzi ya kuondokewa na Kanumba...Katika kipindi cha mkasi ambacho kimerushwa maalumu coz ilikuwa wakati Lulu anahojiwa...Huwa kwa chini pembeni kuna Methari za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
yaani hapa nimenuna kweli kwelì! Baada ya kusaka usingizi muda mrefu ulipoanza kukolea jirani yangu amerudi! Na usingizi wangu umekata! Jirani huyu sijui amefunga spika za matangazo kwenye...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamaa alikuwa kitandani na mke wa mtu, mwenyewe akarudi na kugonga mlango. Mke akamwambia jamaa pitia dirishani kimbia,jamaa akaanza kubisha eti nje kuna mvua, mwanamke akamwambia jamaa ana hasira...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Waswahili walisema kila chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho na sasa uvumilivu wangu kwa hawa watu wanaojiita TANESCO umefika mwisho sio siri TANESCO nasema mmenichoshana mambo yenu ya ajabu...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Jamani nilikua nimesahau kama leo ni ijumaa kuu, nmeamkia supu ya ngo'mbe na chapati saa hizi natoka kula wali nyama ile nmemaliza naenda kunawa muhudumu ananambia ''ijumaa kuu njema'' apo ndo...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Siku moja baada ya kufanikiwa kulitwaa jimbo la Arumeru Mashariki, Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema) ametoa kali ya mwaka baada ya kudai kuwa sasa yuko tayari kuolewa na Mbunge mteule Joshua...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Hii ni moja ya zawadi nyingi utapata, matokeo ya kukubali Shabhan wamtaka, Hakika kwangu vitu vyoote utapata, mengi maneno yangu yasikutie shaka. U mzuri, mcheshi na mpole, mkarim, mkweli...
4 Reactions
144 Replies
8K Views
Nani kakuudhi jamani? Mbona umesusa jamvi? Kunani? Kama kuna aliyekukera nambie nimpige ban fasta.pliiiiz jongea chit chat angalau tukutie machoni kidogo..................
4 Reactions
273 Replies
13K Views
Baba John aliona mkewe amepunguza mapenzi kwake,na hiyo yote ni baada ya mkewe kujifungua. Baba John akaamua kutafuta sumu ya kumuua mtoto.,akaamka mapema,akampaka mke wake sumu kwenye manyonyo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamaaa mmoja alikua katoka klabu kalewa chakari,na alipofika kwake alikua ameweka konyagi kwenye mifuko yake ya nyuma.Mara akawa ameshikilia funguo na kuanza kufungua mlango,akawa anahangaika sana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa mwenye matokeo yake form 4 huyu actor kama alikuwa anaxoma kweri au la
0 Reactions
53 Replies
8K Views
Few weeks ago alisema atakufa rais wa nchi yoyote watu wakabeza, wakasema may be Mugabe, Mandela na wengneo walio wagonjwa ila nijuavyo Bingu hakuwa mgonjwa kiasi cha kutokuwepo ktk list ya...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
jaman wanajamvi hawa ff,na Jb wapo....nawaomba warudi nina mengi ya kuwahoji. Anaejua walipo anitaharifu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mh Lema, aambiwa kesi hii lazima kesi hii"ikutie kidole" na ndugu Zuberi Mwombeji My Take; Maadili ya utwala wa sheria uwapi kama kiongozi wa serikali kama huyu anathubutu kumwambie kiongozi...
1 Reactions
60 Replies
7K Views
be blessed.
2 Reactions
19 Replies
2K Views
WanaJf wa majukwaa yote, Juniors, Members, Seniors, Experts na premiums, mabibi na mabwana; Nachukua nafasi hii adhimu kuwatakia wote muwe na wakati mzuri msimu huu wa sikukuu ya Pasaka...
0 Reactions
0 Replies
632 Views
Karibuni wanaJAMVI tuombe/tusali kabla ya kulala. Tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa mema mengi aliyotutunuku siku nzima. Usiache kuomba/kusali kabla ya kulala na unapoamka. NAWATAKIA USIKU MWEMA NA...
0 Reactions
1 Replies
911 Views
...najutia enda kule leo.... Im so frustrated...na BP yangu ipo juu naw... Nisaidieni wana Chit chat..
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Wakuu mida ya ibada imekaribia. Tujiandae bila kuchelewa. Tusitafute visingizio manake tunajitahd kuwah makazini lakin church ful kuchelewa. Ijumaa kuu njema!
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…