Jana ndio nimetoka gereza la ban nililo kuwepo for two months..walah ban inauma si mchezo..ushapigwa BAN wewe..embu tuelezee ulichokua unakimiss zaidi?? mimi nilimiss sana hapa Chit na MMU...
Hakika nasema iko siku mtu atamwagiwa uji wa moto humu jamvini. We fikiria mtoto wa kiume umejikunja,ukajinyima ukawekeza ,halafu jitu kama Erickb52 , Nyani Ngabu au Asprin linakuja linaparamia tu...
Kiherehere cha Barcelona mwisho leo ****nina
blood msondongoma hawa bendi ya zamani !
Wadau goli la pili alilofunga Christian lilitakiwa lifungwe 22 century!
za asububi wana chit chat,
hebu tujikumbushe enzi za shule ya msingi na sekondari. kuna waliokuwa
- head boy / girl
- monitor / montress
- bibi/bwana afya
- dom leader
- wanariadha
-...
Ninatumiwa SMS mara kwa mara kutoka tigo inayosema kuwa kuna msichana mwenye umri wa miaka 24 aidha miaka 19 mara zote wananiambia ameipenda profileyangu na angependa kuongea na mimi kwa mana hiyo...
from Yahoofriends
Umezaliwa mwezi gani?
Jan
---------------JANUARY BABY--------------------
Pretty/handsome. Loves to dress up. Easily bored.
Fussy. Seldom shows emotions. Takes time to...
habari zenu binafsi!!!!!
hebu fikiria mifumo yote ya mwili ingekuwa inatoa sauti wakati inafanya kazi, kungekuwa na kelele kiasi gani katka mwili wa binadamu?
1. mfumo wa upumuaji - mffmffmff...
baada ya kufunga ndoa nadhani sitakuwa mtoto tena kwani kwa mujibu wakabila letu kijana ambae hajaoa hutambulika ni mtoto hata kama ana miaka 90. Sasa nawataka wana Chit Chat mpendekeze jina...
Raisi akiwa anazindua mradi wa maji ni lazima anywe kidogo.
Anapozindua barabara mpya hutembea hatua chache.
Akizindua kituo cha umeme lazima awashe swichi ukutani.
Je, akitaka kufungua mradi...
NAWASAALIMU WOTE WANA CHIT-CHAT ,HABARI ZA WEEK END WAPENDWA .JANA NILIKUWA MAHA LI LIKAPITISHWA HILI SWALI NA ALITAKIWA KILA MMJA AJIBU ANAVYOJUA SASA MIMI NILIJIBU HIVI JE WEWE Kaizer cacico...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.