Swali kwa wenye akili timamu tu na zilizokomaa tu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali kwa wenye akili timamu tu na zilizokomaa tu.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Nivea, Aug 27, 2012.

 1. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  NAWASAALIMU WOTE WANA CHIT-CHAT ,HABARI ZA WEEK END WAPENDWA .JANA NILIKUWA MAHA LI LIKAPITISHWA HILI SWALI NA ALITAKIWA KILA MMJA AJIBU ANAVYOJUA SASA MIMI NILIJIBU HIVI JE WEWE Kaizer cacico Mtambuzi Mamndenyi SnowBall! Snowwhite HorsePower, Asprini dada gfsonwin charminglady BadiliTabia sweetllady The Boss king'ast Preta Tuko FirstLady1 MadameX ummu kulthum BAK ruttashobolwa @ruttashubanyuma Kongosho @arushaone BAGAH Teamocarmel platozoom Young Master MtotoSix

  Taja vitu vitatu muhimu sana katika maisha yako

  jibu langu mimi ni hili
  • MUNGU
  • FAMILIA YANGU
  • KAZI (inayoniwezesha kupata mahitaji yangu )/Biashara yangu.​
  mimi hapo niliona eti ndio muhimu kwangu,lakini inaweza kuwa tofauti kidigo kwa MtotoSix yeye atasema et charminglady kisa amekaribia kumuoa na kikao cha mwosho kilikuwa jana ili kumhadaa huyu dada mzuri.sidhani kama atapinga hapa
  ,sijamtaja Bishanga maana muhimu kwake yeye ni 1.shamba2.kijiwe 3.kashata na kahawa
  FUNGUKENI JE MIMI NIHAYO MIMI NI MUHIMU KWANGU WEWE JE ?
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,488
  Trophy Points: 280
  We Amsterdam mbona kwenye hiyo list hujaweza "NGONO"?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mimi naheshimu angalizo (instructions)
  Akili Mpwapwa yangu haijakomaa!
  Ngoja wenye timamu waje!
   
 4. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Napita.
   
 5. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  HAHAHAH BABU Asprin si iko ndani ya familia ? taja zako babau au ushazeeka kwisha habari yako eeeeeee
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #6
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  we bwana Amsterdam huna maana... charminglady hana comparison hapo. yeye ana nafasi ya kipekee kabisa kwangu.

  ila kwa haraka haraka...
  1. God < im God fearin man
  2. My both Families...kwetu na ukweni...
  3. Nisipofanya kazi nna hakika Bishanga atamhonga mama watoto wangu mikungu ya banana, afu niishie kuwa mume *****

  ila charminglady is beyond explaination
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #7
  Aug 27, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Mzee mwenzangu ODM Asprin kanijibia hapo juu..............................LOL
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #8
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hapa mimi mbumbumbu...
   
 9. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #9
  Aug 27, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  nilisema kwa charminglady MtotoSix huchomoi haya bwana hongera na asante kwa jibu zuri
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #10
  Aug 27, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  hehehe mtambuzi weee YAANI WAZEE MMEHARIBIKA KABISA INAMAANA NIKIANZA KUZEEKA NTAKUWA NAWAZA KAMA NYUIE AYAAAAA
   
 11. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #11
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  ntachomokea wapi hapa nimekufa na kuzikwa na sifufuki kabisa
   
 12. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #12
  Aug 27, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Mimi vitu muhimu katika maisha yangu ni kama ifuatavyo;
  • Kwanza kabisa ni computer maana bila computer kwa kweli huu utaalamu wote nilionao ni sawa na bure. Sio siri hii kitu imeuteka moyo wangu kuliko hata mwanamke...huwezi amini lakini ndio ukweli halisi.
  • Kitu cha pili muhimu katika maisha yangu ni mama yangu mzazi maana bila yeye mimi nisingekuwepo.
  • Kitu cha tatu muhimu katika maisha yangu ni Mungu maana bila nguvu zake siwezi kufanya lolote.
   
 13. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #13
  Aug 27, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  hahaha MtotoSix kwisha habari yako wewe
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #14
  Aug 27, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  haya Young Master hongera sana jibu zuri at the end nitatoa marks nahisi Mtambuzi na Asprin watapata 0
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #15
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,852
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  ingawa hatujahalalishwa kuwa mwili mmoja rasmi tena mbele ya kadamnasi,but sisi tumeshajihalalishia. my huz MtotoSix amekwisha jibu. so hilo jibu ni la familia ya mr. & mrs to be MtotoSix. . .
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #16
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,317
  Likes Received: 2,604
  Trophy Points: 280
  once u mention God kila kitu kina merge kwake...as to me aint nothing important but HIM,so the rest two zitablend in kiroho safi
   
 17. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #17
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  :biggrin1: yaani hapo umepatia kabisa maana wengi wetu ukiuliza vitu vitatu muhimu vitakua ni 1.ngono 2.ngono 3. ngono :happy:
   
 18. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #18
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,129
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Mimi vitu muhimu ktk Maisha yangu ni:

  1. Mungu wangu.

  2. Wazazi wangu na ndugu zangu.

  3. Kipenzi changu cha moyo,lawyer ruttashobolwa.

  4. Kazi na biashara zangu kwani ndizo zinazonivimbisha kichwa jijini Dsm.

  5. Pombe na Anasa kwani huniliwaza pindi kipenzi changu achelewapo kurudi kazini.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #19
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,738
  Trophy Points: 280


  naomba nigelezeee majibu haya ya wangu!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #20
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,129
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  gelezea lakini umekosa wangu.
   
Loading...