Wanangu Real-Madrid nipeni raha!

Wanangu Real-Madrid nipeni raha!

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,789
Kiherehere cha Barcelona mwisho leo ****nina
blood msondongoma hawa bendi ya zamani !
Wadau goli la pili alilofunga Christian lilitakiwa lifungwe 22 century!
 
tayari barca pungufu, na magoli 2 nyuma
 
ninafuraha balaa...hawa barca wametuoonea vya kutosha ni zamu yao leo wakuu..kuna kama goli nne bila hivi....
 
wamelibeba madrid hureeeeeeeeeeeeeee
 
Mrembo! Mrembo! Mrembo wangu Barca!
Nimemtafuta kwa muda mrefu sana, hatimae leo kanipa!
 
Barcelona Tikiti mma !
Barca Tikiti wora!
Barca Tikiti amaizi! Barca Tikiti minze! Barca Tikiti malenga!
 
Barca nanihii zimewashuka! Kabati zimewabana!
 
yaan mtu akizoea kukandamizwa, siku akiachiliwaaa....naona RM kauona mwezi
 
Matokeo yakoje? Mchezo uliendaje? Matukio ya kdusisimua?

Real madrid 2
Barcelona 1
Tukio sisimuzi ni goli la Pili alilofunga Rodaldo, aliuchop mpira kwa "kisigi" (kisigino) hiyo chopping ndiyo ikawa pia imemvesha beki kanzu, then akaupokea mpira gambani , akaushusha kunako maguu na kuachia mshuti wa adabu hadi kambani !
 
Real Madrid 2 Higuan and C Ronaldo
Barcelona 1 Lionel Messi

Asantaa!
Nikute wahudumu wanakuskiliza! Kandamiza manywaji unataka!
Mi bado na mishemishe , ntakuja clear bills, hata ndege chomesha muone Mangi !
 
Watu ambao wamezoea kufungwa siku wakishinda tunakua hatulali
ndani... Game la kwanza la nou camp mnakumbuka mlifanyiwa nini?
 
Watu ambao wamezoea kufungwa siku wakishinda tunakua hatulali
ndani... Game la kwanza la nou camp mnakumbuka mlifanyiwa nini?

Mtoto wa town! Naskitika kukuarifu ya kwamba , sikuianzisha hii Sredi kujadili HISTORIA ! That you talk it's narrates RIP already! The words where's passin away ! Nevertheless vimekuuma, na hapa funs they proceed on the ceremony ita muhudumu akuskilize , endelea kupeleka pwani mikuku, minini ! Na pa'kumbonji tumeandaa! Stareheka kijana.
 
Back
Top Bottom