sWaLi jEpEsI sAnA kWa LeO!

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,107
Raisi akiwa anazindua mradi wa maji ni lazima anywe kidogo.
Anapozindua barabara mpya hutembea hatua chache.
Akizindua kituo cha umeme lazima awashe swichi ukutani.
Je, akitaka kufungua mradi wa Condom atafanyaje....?
 
Inatengenezwa uume na uke wa bandia. Ule uume unavishwa kondomu na watu wanaelekezwa namna kitu kinavyofanya kazi. Swali jingine...!
 
Aiseee babaangu kweli ni bangi za mchana hawe watakuwa uvccm au green gad
 
Je kama inayozinduliwa ni kondom ya kike na Rais ni mwanaume?
Au,rais mwanamama halafu kondom ya kiume?
 
Back
Top Bottom