Wapendwa wa CC habari za asubuhi! Leo ni siku nyingine tulivu, siku ya kumwomba Mwenyezi Mungu kwa wale wenzangu mimi! Twendeni kanisani wapendwa tukasali. J2 Njema wapendwa wote.
simu yangu ni nokia c3, nimejaribu kudownload whatap but ikifika kwenye ku verify phone number inandika kuna error 42 kw anaejua kusolve hii kitu naomba msada pls
"What makes you rich is what you do after office hours!"
Nimekutana na huu ujumbe ukanipa mawazo sana!
Je, kuna ukweli ndani yake?
Tafakari...chukua hatua.
Alamsik....
Sio kila mara nasafiri kuona maajabu ya dunia, kuna maswali ambayo uwa najiuliza na hayana majibu, safari hii nimeifunga all the way from rockcity, nimemuacha mama watoto akiwa kwenye bedrest, ili...
Pana BUBU, KIZIWI na KIPOFU pamoja na mke wa KIPOFU...
KIZIWI akawa anatembea na mke wa KIPOFU ihali BUBU anajua hilo!
Sasa BUBU atamwambiaje KIPOFU kua KIZIW Anatembea na mkeo... Great...
Mwenyewe anajijua.
Kwanza nilifanya mishemishe zangu nikang'oa Manzi Mkali kinoma humu.
Japokuwa Manzi alikuwa ana Mtu wake basi akanipangia na mimi Ratiba yangu.
Bwana ya Manzi alipogundua akawa...
Three Friends went to China for vacation.
Since they were new at the
place, they had to stay in a hotel. They
ended up being on the 60th floor. The
policy of the hotel was that, at
midnight, the...
Changua jibu sahihi kushinda yote
Umri wa juma ni nusu ya umri wa kaka yake kwa sasa. Umri wa kaka yake kwa sasa ni miaka sita.
Je Kaka yake akiwa na mika 100 je juma atakuwa na umri wa miaka...
Nashindwa kujizuia wajameni! Nimejikuta nampenda mke wa mtu, naye ana vituko mno kwangu niko naye jirani kidogo sijui nifanyeje! Nina tabia ya kupata moja mbili maeneo ya jirani kwangu, huwa...
Enyi waheshimiwa tunaotaka mabadiliko hii ni kwa ajili yako wewe mimi na yule na wote watakao mabadiliko
#include <chadema2015.Ikulu>
void CCM2015(int peoplevoteforChadema);
int forever=1...
Mwalimu mmoja alikuwa yuafundisha watoto wa
darasa la 1 hesabu,akamuuliza dogo mmoja swali. Mwalimu:"Nikikupa sungura wawili halafu
nikakuongezea tena wawili na nikuongezee tena
wawili utakuwa...
Three Friends went to China for vacation.
Since they were new at the
place, they had to stay in a hotel. They
ended up being on the 60th floor. The
policy of the hotel was that, at
midnight, the...
Jamaa mmoja alipata nafasi ya kuongea na mungu. Jamaa akamuuliza,"Miaka millioni moja ni kama nini
kwako?" Mungu akajibu,"Dakika moja." Jamaa akauliza tena,"Na shilingi millioni moja ni
kama...
Wana jamnvi!!, usalama wetu kwanza tuwapo barabarani!!!,road traffic act no 19(1) revised edition 2002 ina prohibit ku drive chombo cha moto kama huna driving licence.tujifunze sheria wenyewe ili...
Kijiwe kipya cha burudani ndani ya Arusha.
Was there on Friday night on my trip to DSM ..
Located at Philips.
Nitakuwepo ijumaa ijayo tena wenyeji tupokeeni......!!!
Mpo njiani mnatoka shamba, kushakuwa jioni sana na kuna dalili za kunyesha mvua, mara anakuja mwarabu wa shamba la jirani akiwa na pickup yake, mbele kuna nafasi moja tu. mwarabu anashauri, Mkeo...
Unajua nakuthamini zaidi ya POSHO na MSHAHARA, bila wewe siwezi kuishi ni sawa na kukosa BUNDUKI eneo la tukio, nitakuheshimu kama navyolieshimu LINDO, wewe ndio IGP wa moyo wangu, daima...