Hii lift vipi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii lift vipi

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by TECHMAN, Sep 21, 2012.

 1. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Mpo njiani mnatoka shamba, kushakuwa jioni sana na kuna dalili za kunyesha mvua, mara anakuja mwarabu wa shamba la jirani akiwa na pickup yake, mbele kuna nafasi moja tu. mwarabu anashauri, Mkeo Amuweke mbele kisha wewe akuweke nyuma muendelee na safari. Je utakubali????
   
 2. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  amuweke au akae kwenye siti ya?
   
 3. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,152
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Tunakaa wote nyuma, hataki acha mvua itunyeshee. Kwa pickup ina siti nne hizo mbili kaweka nini?
   
 4. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Chezea mwarabu wewe?
   
 5. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hakuna kuwekwa mbele wala kuwekwa nyuma hapo
   
Loading...