Huyu Jamaa nimfanyeje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu Jamaa nimfanyeje?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by TANMO, Sep 22, 2012.

 1. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mwenyewe anajijua.
  Kwanza nilifanya mishemishe zangu nikang'oa Manzi Mkali kinoma humu.
  Japokuwa Manzi alikuwa ana Mtu wake basi akanipangia na mimi Ratiba yangu.
  Bwana ya Manzi alipogundua akawa ananimaind ila tukawekana sawa maisha yakaendelea.
  Sasa akajitokeza huyu Chalii, daily akawa anatugombanisha na Mume mwenza. Mimi nikawa navumilia.
  Hamadi Jamaa akachukua Manzi yetu. Tena wakafunga hadi Ndoa, Manzi akatuweka wazi, no more kuchovya.
  Roho iliniuma nikaomba Livu ya Mwezi bila malipo kazini. Yule Mume mwenza mpaka leo Moyo Umemparalaiz..
  Manake nasikia alipata Heart Konkesheni.
  Japokuwa wivu sina, roho inauma. Mbaya zaidi Manzi ni alikuwa ananiweka Tauni Mazee, hebu imajini..
  Sasa kuna Manzi nyingine tena imenipiga Busu Jamaa kalidaka yeye..

  Naomba msaada wa mawazo, nimfanyeje huyu Arifu?
  Nilifikiria kununua makopo ya Rangi nimwagie au mnaonaje Ma-arifu?

  Atakayenipa wazo zuri nini cha kufanya nampa bonge ya zawadi...

  Halafu kama kuna Manzi yeyote humu enye anavutiwa na Swaga za TANMO, anaweza kujaribu bahati yake,,
  Huwezi jua Bahati inaweza kuwa ya kwako kuliwini limoyo la TANMO.
  Akina nanihii na wenzako niliowahi kuwakatalia msilete tena maombi.

  Mapendo.
  TANMO.
   
 2. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mmh ngoja nijifiche kwanza
   
 3. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Why? Kwa nini?
  Hebu nipe mawazo Bana, au basi omba Chansi kwenye Limoyo langu..
  Hivi Unajua Infwakti, Bishanga nilimfundisha Kingereza mimi?
  Halafu huyu Mtambuzi, mimi ndiye nilimfundisha kuandika mahadithi marefu marefu..
  Aspirin mwenyewe ananitambua, hebu muulize jinsi nilivyompalekaga kutembelea kiwanda cha Vodka Urusi..
  Anyway, bahati ndiyo inapita hii.. wewe jifiche tu!!
   
 4. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  i've been looking 4 u daughter, nimekumiss mno, sana yaani. Mzima wewe?
   
 5. KARIA

  KARIA JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kumbe njia za kutongoza ziko nyingi eehh! hii nilikuwa siijui! hongera sana kwa kunisaidia staili mpya!
   
 6. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Huyo jamaa dawa yake ndogo sana,wasiliana nami tumtengeneze.Nakuhakikishia atawashwa miezi sita usiku na mchana na kufa hafi........
   
Loading...