Chemsha bongo

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,834
Changua jibu sahihi kushinda yote

Umri wa juma ni nusu ya umri wa kaka yake kwa sasa. Umri wa kaka yake kwa sasa ni miaka sita.
Je Kaka yake akiwa na mika 100 je juma atakuwa na umri wa miaka mingapi?

a) 50
b) 30
c) 97
d) 88
e) Yote sio sawa
f) Yote sawa.
 
jibu ni 'C'
siamini kama nilitaka kusema miaka hamsii, ina maana jamaa anasubirir mwenzake akue mpaka amdabo kila mara..hhahahahahah
 
Back
Top Bottom