Swaga za Polisi akitongoza demu

Pancras Suday

JF-Expert Member
Jun 24, 2011
8,143
3,830
Unajua nakuthamini zaidi ya POSHO na MSHAHARA, bila wewe siwezi kuishi ni sawa na kukosa BUNDUKI eneo la tukio, nitakuheshimu kama navyolieshimu LINDO, wewe ndio IGP wa moyo wangu, daima nitakuweka mbele kama LIGHT MAKER kwenye gwaride mbona upo kimya nijibu basi nipate kufungua JALADA ndani ya moyo wako. Usinifanye moyo ukaenda mbio kama DEFENDER MPYA, Ntakuwekea usalama kama msafara wa RAIS, nina RB ya penzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom