kizibo

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,385
Mwalimu mmoja alikuwa yuafundisha watoto wa
darasa la 1 hesabu,akamuuliza dogo mmoja swali. Mwalimu:"Nikikupa sungura wawili halafu
nikakuongezea tena wawili na nikuongezee tena
wawili utakuwa na sungura wangapi?" Dogo:"Saba." Mwalimu:"Skiza tena vizuri usiwe na haraka?
(Mwalimu akarudia tena vile vile) Dogo:"Saba." Mwalimu:"Na je nikikupa machungwa mawili nikupe
tena mawili na nikupatie tena mawili utakuwa na
machungwa mangapi?" Mzigo:"Sita." Mwalimu:"Aha..sasa je nikikupa sungura wawili
halafu wawili tena na wawili tena utakuwa nao
wangapi? Dogo:"Saba." Mwalimu:"Shenzi...bure kabisa,itakuwaje saba?" Dogo:"Kwa sababu nyumbani nina sungura
mwingine mmoja!!
 
Yule kizibo wa Ebony Fm sijui aliishiwa!
 
Back
Top Bottom