SEMINA UBUNGO PLAZA; Watu wakaanza kujitambulisha, wa1; mimi naitwa john niko UDOMmwaka wa wa pili, nasoma LAW; wa2 naitwa Stella niko UDSM mwaka wa tatu nasoma PUBLIC RELATION, wa3 kwa kusuasua...
Awali nikidhani ule ukorofi wa wale wabunge maarufu kwa MIONGOZO na TAARIFA kule mjengoni, kwamba ukorofi wao huishia kulekule kumbe sivyo.
Hivi karibuni waheshimiwa wa kutoka kambi ya upinzani...
Real Meanings Behind Car Names*
I BET YOU DIDN'T KNOW THIS!
BMW: Brings Me Women**
LEXUS: Luxury Exports To United States **
FIAT: Failure In Italian Automotive Technology**
FORD: For Only...
hizi ndo swaga za askari mmoja anatongoza kwenye simu yaani mpaka unacheka
haroo wewe hebu kuja haraka unajua nakuthamini sana kama rushwa bila wewe siwezi kuishi ni sawa na kukosa bunduki eneo...
Bwana weeee kiingereza muda mwingine ni muhimu, japo cha kuombea maji. Jamaa mmoja alikwenda kwenye hotel ya kifahari, watu wote pale hotelini waliongea kiingereza, basi jamaa alipokuwa chumbani...
Kwa wale wanaojua mpira mtanielewa.
siunajua ukishinda magoli matatu katika football unapewa mpira wa bure unaondoka nao.... sasa jamaa kaenda gest na demu wake kamgonga goli tatu alipomaliza...
Umetoa Wazo la kufutwa kwa jukwaa la chit-chat,lakini bado nakuona unalanda landa humu,Licha ya kashfa zako zote la kuwaita wana jamii vilaza..Hizo thread za vilaza ndo unazochangia.Acha Uki geu...
Bujibuji amezaliwa enzi za chama kimoja,
kaunda sana magari ya waya,
kacheza sana vinyengo, madaso a.k.a chandimu.
Kala sana kabunguja, na magili ya samaki.
Katumia sana maneno tekude, kishtobe...
WanaJF wallah raharaha.... Soma comments za watu wanaochangia mada, hata uwe umenuna vipi na stress? Comments za wadau utacheka mpk ufee...topic ya pumba!! Majibu pumba sq...
NB: nategemea pumba...
Nina miezi muda sasa katika JF so naomba munielekeze kuweka picture kwenye profile tena kwa hasira nitaweka yangu na ya mke wangu nilie muoa kwa lazima baada ya kufumaniwa,