Namtafuta husinyo

Namtafuta husinyo

Mamaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
5,298
Reaction score
4,863
Heshima mbele wana jf
Naomba kujua huyu husninyo amepotelea wapi.last time niliona thead moja akiwaaga wana jf.hv ni kweli kapotea kiujumla?
 
Haujambo my son. Babake ni Mtambuzi alishamwozesha kwa wasomali.
 
Naskia akajitoboa na macho na kuferenga vidole! She is a serious one eeh?
Vere vere aisee
Mie sina hasira za hivyo

what was the reason behind? Hebu dadavua kongshow,alikuwa ni mchangiaji post mzuri sana.
Alipata kibabu cha kikongo humu jf, kikala maini yake afu kikataka kuyakrim yake yellowish pink
Akaamua kutoka nduki
 
Back
Top Bottom