aliyegundua stail hii nampa bigup''

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
Sasa yawezekana wamekosea choo labda..
576841_483502608337422_1383027786_a.jpg
 
Hawa ni wanaume wamevaa sketi au ni wanawake wenye dushelele?
 
Itakuaje hao wawe wanaume?
Kanuni haikubali wanaume wamiliki minyama mikubwa na minono'minono makalioni kiivo!
Wanaume kanuni yao ni pasi makalioni .
Nway wahusika wanajielewa, hence ni wao watuambie ni wameanza lini kujogo stlye hio!
 
ndio kwanza naona! kweli kila sector inapitia mabadiliko!

HAHHAHA na wewe ushaanza mabadiliko kwenye hiyo sector au bado unachuchumaa?
juzi juzi niliona mmoja kainama kidogo katanua miguuu anakojoa nikajua kuchuchumaa imeanza kupitwa na wakati
 
"Kaeni mkao fulani hapo ukutani niwapige picha kwa ajili ya fesibuku, fanyeni kama wanaume wanakojoa ehee ekti vizuri basii haya tatu... mbili.... moja." CLICK! Ndivyo hiyo picha ilivyopigwa ili iwaumize ubongo kwa kufikiri 'is it possible?'
 
Mi nimeuliza badala ujibu unaanza hadithi
 
hao wanapiga puchu...kusimama karibu,na mfereji wa mikojo ni zuga tu....
 
Itakuaje hao wawe wanaume?
Kanuni haikubali wanaume wamiliki minyama mikubwa na minono'minono makalioni kiivo!
Wanaume kanuni yao ni pasi makalioni .
Nway wahusika wanajielewa, hence ni wao watuambie ni wameanza lini kujogo stlye hio!
mbona mda sana jamani lol
 
Back
Top Bottom