A Woman of a steel(Soy Tu Duena) Soundtrack mp3,Unayo?

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,672
68,641
Kama Unayo mp3 yake(High Quality siyo iliyokuwa converted kwenye Youtube) niattachie hapa au weka link ya kuidownload.

Last edited by a moderator:
mkuu Kipipi iko cd moja2 ambayo imeinclude tamthiliya yote zimezagaa huku arusha na dsm cjui maeneo mengine
 
muone BAK ,mi huwa naamini kila wimbo anao huyu mtu!namtrust ile mbya kwenye hili eneo!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
mwenye ule wimbo wa Valentina akimwimbia bwana kaka (mariachi) aniwekee.....kuna mahali nataka nikaimbe......
 
yah Remmy zimetoka since july, i lov valentina she is innocent and has true love
 
Last edited by a moderator:
mkuu Miaghay kwani we uko wapi? Coz kwa arusha maduka ya cd na vijana wauza series wanazo
 
Last edited by a moderator:
Mi Valentna ananikera,too inocent, jinga fulani...kila aambiwalo sawa tu kwake. Hata hafanyi utafiti.
Remmy sweetie, u can't be better in everything especially where the negative ray doesn't give you a breath, from your personal matters/feelings......to family and societal affairs!! Valentina is possessed with so many things including the soft loving heart that makes her very true and honesty!
 
Last edited by a moderator:
Ivana akili zake zinamtosha mwenyewe!Ni good actor maana ujumbe unafika kama ulivyokusudiwa!!
Valentina is such an angel!!
 
Remmy sweetie, u can't be better in everything especially where the negative ray doesn't give you a breath, from your personal matters/feelings......to family and societal affairs!! Valentina is possessed with so many things including the soft loving heart that makes her very true and honesty!

May be.....ila huwa sipendi mtu wa yesyes......lazima awe anapima kwanza....Ivana ndio wa ukweli she knows to get what she wants...thats suppose to be....utakatifu utakuwa wa kulialia kila uchao, akhuu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom