Hat Trick

KML

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
861
133
Kwa wale wanaojua mpira mtanielewa.
siunajua ukishinda magoli matatu katika football unapewa mpira wa bure unaondoka nao.... sasa jamaa kaenda gest na demu wake kamgonga goli tatu alipomaliza akafurahi akaenda reception akaomba condom ya bure na yeye aondoke nayo
Watu bwanaaa...
 
Kama kwenye football match unapewa ule mpira uliotumika kwenye hiyo mechi husika basi na yeye angejichagulia moja kati ya hizo alizotumia.......... kama walitumia..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom