Mke wangu mpenzi najua utashangaa kuona SMS yangu!

muuza ubuyu

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
3,510
3,477
Mzee mmoja alikwenda kijijini akakuta mtandao unapatikana vizuri sana. Akamwandikia mkewe sms. Bahati mbaya akaituma kimakosa kwa mtu mwingine.. ilimfikia mwanamke aliyefiwa na mume wake jana yake..maana watu walikuwa bado wanamtumia sms kumfariji.. Aliposoma sms hiyo chini puu akazimia!!! mwanae kuona mama yake kaanguka akaitazama ile sms. Ilikuwa imeandikwa hivi:
"MKE WANGU MPENZI NAJUA UTASHANGAA KUONA SMS YANGU. HUKU NAKO KUNA MTANDAO KAMA HUKO. NIMEFIKA SALAMA NA MATAYARISHO YA WEWE KUJA HUKU KESHO TAYARI.
NAKUSUBIRI MPENZI

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Haaaa ndio maana nikituma sms akili yote ipo hapo kabla sijatuma naanza kuadd jina kwenye empty sms then nikishahakikisha mara 2 ndio naanza kuandika sms.
 
Anyway...Ungeitupia jukwaa husika ingekuwa poa zaidi..

Nimekupata na nitalifanyia kazi hili kwa post zitakazofuata! Heshima kwako mkuu!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Haaaa ndio maana nikituma sms akili yote ipo hapo kabla sijatuma naanza kuadd jina kwenye empty sms then nikishahakikisha mara 2 ndio naanza kuandika sms.

Ni vizuri make ukikosea kama huyu jamaa unaweza kuleta dhahama kama huyu jamaa make mjane alizirai hapo hapo!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom