Embu jamani jiulize umenunua gari na unalipenda ile mbaya ukafika TRA kulipia ukapewa namba hizi T666 CCM halafu wewe ni mfuasi damu wa Chama cha upinzani mf CHADEMA. utafanya nn?
Jamani nilikuwa maeneo fulani mzee mmoja katika kutoa nasaha ili vijana wamuelewe vizuri si akatupia stori fulani hivi ya
Mtambuzi kama ilivyo!...
Nikatabasamu nikasema duh,kumbe na mzee yupo...
Ni aje wadau wa jamvi hili, ni kamuda kidogo nilipotea sio tu chit chat bali JF kwa ujumla, nipeni yaliyojiri katika miezi hii mitatu of my absence, lete habari@Kaizer Mr Rocky Erickb52, kaka...
Mi ni mvulana, nahitaji ka demu ka kunichuna. Kawe kazuri ka wastani na kawe tayari kudo wakati wowote ninapokahitaji. Nitakagharimia kwa mahitaji yote yatakayokuwa ndani ya uwezo wangu. am...
Mama ngina jamani inamaana umetupa jongoo na kijiti chake? Usimwogope Baba Ngina ameshajizeekea mimi bado vile vile kama enzi zetu!
Niambie mapema make weekend ndio hii!
Sent from my BlackBerry...
Brajec Club: Mwanaume mwenzangu yu karibu na meza yangu,namwonea huruma sana ni kama King Mswati, meza yake imezungukwa na mabinti kama sita ambao wanapiga nywaji kali. Ni mabinti wa chuo kwa...
Nasikia karibia uende alipo baba wa taifa,ukifika mpe barua hii:-
Dear Nyerere, tangu ufe mlima Kilimanjaro uko Kenya, ziwa Nyasa liko Malawi, Tanzanite iko Kenya, Tanesco ni ya Lowassa, Shekh...
There was a guy at a bar, just looking at his drink. He stays like that for half of an hour.
Then, big trouble-making truck driver steps next to him, takes the drink from the guy, and just...
Si ni hawa wanaojiita VODACOM !
Hivi unamuelewaje mathalan mtu kaweka bandiko ,
"FUNDI & MTAALAMU MAHIRI WA KUTAHIRI, ZILETENI"
Wenye zakari zao wakaitika!
Wakakushushia zakari za kutosha...
Wana cc! Habari za muda huu? Wadau wenzangu naomba mnisaidie mawazo yenu kuhusu hii makitu inayoitwa TIKISA inayorushwa ITV! Mimi naona haipo kwa ajili ya mila na desturi zetu! Kwa nini hawa...
When you walk into a bar and see two/three/four ladies sitting together, how do you chose the one you want to talk to? What do you notice first when you see a woman that makes you want to talk to...
26 yrs of age si haba,, naona wedding bells nazo zinakaribia kugonga as life la kibachelor nimeona pengo lake as wife angekuwepo ndan si ajabu bonge la keki na mapocho pocho kibao yangekuwa...