Graduation

Graduation

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
Leo tarehe 27 oct, pale mlimani city, ntapata shahada yangu ya kwanza ya uchumi. Nawakaribisha sana. Msikose.
 
Leo tarehe 27 oct, pale mlimani city, ntapata shahada yangu ya kwanza ya uchumi. Nawakaribisha sana. Msikose.

Mji utachafuka leo ugggggh! Vurugu tupu leo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Leo tarehe 27 oct, pale mlimani city, ntapata shahada yangu ya kwanza ya uchumi. Nawakaribisha sana. Msikose.

Hongera sana Bulldog, karibu kitaa university upate masters!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Nimekuona ulivyokuwa unazurula na gauni lako, una fujo! (joke). Hongera sana.
 
Hong era sana Bulldog,
unajisikiaje?
angalizo tu kwako mchumi mwenzangu......... Uchumi siyo ubahili......... Watu wengi wanashindwa kutofautisha haya mambo
karibu mtaani
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom